LGE2024 Mchengerwa: Wagombea ambao hawajaridhishwa na uteuzi, waweke pingamizi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Tamisemi wajitoe kwenye ufanya uteuzi. Wao ni wasimamizi tu waapaswa kuwezesha wagombea walioletwa na vyama na sio wao kuwa wachujaji.
 
Uchaguzi maana yake ushindani. Inawezekana vipi Yanga wazuiwe kuingia uwanjani halafu useme Simba wameshinda?
Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa ukiharibika,na ule wa mwaka kesho pia utaharibika,kwa sababu Uchaguzi ule inategemea Uchaguzi huu.
Siyo kwamba sisi tunaamini kwamba maendeleo ya nchi yanaletwa na utitiri wa vyama vya siasa ila tukumbuke aliyeanzisha vyama vingi ni James Mapalala.
 
Umenena sawasawa Bro. Mbinu za kishenzi zilizotumika uchaguzi wa 2019/20 zinatumika na kuharibu uchaguzi wa 2024/25.

Hakika madhara ya utawala wa Magufuli yatalitafuna Taifa letu kwa muda mrefu.

Samia aachane na hizo mbinu zitamharibia rekodi yake aliyoijenga kwenye demokrasia na utawala bora
 
Nadhani huyu ndiyo Waziri mjinga tangu nchi ipate uhuru asee
Kwa kweli huyu mkwewe anamfanya rais adharauliwe mpaka huko vijijini. Huyo ni waziri hopeless, mwongo na mnafiki mkubwa. Kifua kipana cha kufanya uovu.
 
Kiburi watatufanya nini. Ndiyo maana hali kama hii ilitokea huko Liberia. Hawa walikuwa mawaziri.... haipendezi na hatutaki tufike huko. Tutende haki please mchengerwa
View attachment 3147132

Liberian Soldiers Taunt, Shoot 13 Former Leaders​

Hii inawafaa mafisadi na wahujumu uchumi wa Tanzania huko mbeleni
 
Who was James Mapalala behind the scenes?
 
😂😂😂😂

Yesu akasema " mtamkuta punda na Mwana punda, wafungueni"
Vile vile, nimeumisi wimbo wa tutoke wote wajue km wewe mi wangu, wa yule kijana alikuwa anaimba na kucheza na baba yake

Vile vile = similarly to
 
Hawana muda huo, wapo bize kutoana roho
 

Attachments

  • IMG-20241117-WA0032.jpg
    118.5 KB · Views: 1
Free and Fair Election is the way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…