Moja ya malengo ya shule za Kata ilikuwa ni kuwafanya wanafunzi kuwa jirani na kaya zao ili kutembea umbali mfupi ili kuwahi kwenda na kurudi shule/nyumbani, usalama na pia kupata chakula wakati wa mchana. Je, hili bado ni lengo la kuwa na shule za Kata?