Bora hujashikwa akili huko nje😂Mimi naenda mwezi wa tatu huu bila bila mwanangu.. 😐 Sema nazingatia ushauri wa Lenie ndio kinachoniweka mjini la sivyo sijui hali ingekuaje?
Sasa amebadilisha maisha yako kivipi?Maisha yana mambo mengi sana nimeoa miaka kadhaa iliyo pita nina mtoto mmoja natarajia kupata mwingine soon. Mwaka huu kuna dada nilimpata yeye ni single mother lakini bonge la demu yani aliwahi kuzalishwa ni mtoto wa kimalangu mweupee tako kubwa yani amekamilika kila idara huyo dada nmemtongoza karibia miezi 3 anagoma siku alipo nikubali amekuwa mwema sana sioni shida kuhudumia yeye na mtoto wake nimeamua kumpangia nyumba yani ananisisitiza sana kumjali mke wangu siku sijuti kumpata maamuzi niliyo chukua ni kwamba nitaenda kwao kutoa mahari nitaoa awe mke wa pili hata kama dini hairuhusu
Najitahidi mkuu, ntazingatia ushauri wako wa kuendelea kula kimya kimya 🤣Bora hujashikwa akili huko nje😂
Usifanye makosa kama ya mtoa mada tasavali
wewe ni mtu mzima ila inaonekana ni mtoto kwenye tasnia ya mahusiano, kuakua kwanza utakuja kuleta mrejesho hapa.ananisisitiza sana kumjali mke wangu
Good😃Najitahidi mkuu, ntazingatia ushauri wako wa kuendelea kula kimya kimya 🤣
Ila siku izi inatia faraja kuona wanawake nanyie hampo nyuma kwenye kuchepuka mnakuja kwa kasi ya 4g nadhani soon mtatuovateki kama bado. 🤣Good😃
Sema kuchepuka nako sio poa, kukiwa hamna ulazima tulieni tu na wake zenu na mtazidi kubarikiwa hadi mshangae mlikua mnahangaika nini huko nje.
Siku ukimwoa ndipo utajua kuwa vitumbua ni muchele wa kulowekaMaisha yana mambo mengi sana nimeoa miaka kadhaa iliyo pita nina mtoto mmoja natarajia kupata mwingine soon. Mwaka huu kuna dada nilimpata yeye ni single mother lakini bonge la demu yani aliwahi kuzalishwa ni mtoto wa kimalangu mweupee tako kubwa yani amekamilika kila idara huyo dada nmemtongoza karibia miezi 3 anagoma siku alipo nikubali amekuwa mwema sana sioni shida kuhudumia yeye na mtoto wake nimeamua kumpangia nyumba yani ananisisitiza sana kumjali mke wangu siku sijuti kumpata maamuzi niliyo chukua ni kwamba nitaenda kwao kutoa mahari nitaoa awe mke wa pili hata kama dini hairuhusu
Na hakunaga mmarangu mwanamke mjinga, unamfahamu Joyce Kiria?Hahhaahhaaaa atarudi anatambaa
Hapo jamaa hajui anatolewa kwenye reli mdogo mdogo, hata mkund** atapewa kisha anaacha familia inateketea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chura kama chura!!!
Uyu bado mgeni mjini!!hajui kutofautisha utapeli na ukabaji!!
Hahahaaa mmetufundisha nyie, unajua mwanamke akikupenda na ukimtreat vzuri anatulia, hata hisia na wanaume wengine hazitakuja labda awe tu mhuni by nature.Ila siku izi inatia faraja kuona wanawake nanyie hampo nyuma kwenye kuchepuka mnakuja kwa kasi ya 4g nadhani soon mtatuovateki kama bado. 🤣
Mi nadhani binadamu hatukuumbwa tuwe na mtu mmoja maisha yote. Tumefosi tu.
JF hairuhusu name calling MpwaNa hakunaga mmarangu mwanamke mjinga, unamfahamu Joyce Kiria?
Most of Marangu ke ndivyo walivyo, hawakaagi na waume wakazeeka nao
Tangu lini?JF hairuhusu name calling Mpwa
Naomba ushahidi ktk bibilia kama hamkuruhusiwa kuoa wake zaidi ya mmoja hujachelewa bado wellcame to islam.Kati ya sehem wakristo tulipigwa ni hapa kwenye kuoa mke mmoja.