Mchepuko alivyobadilisha maisha yangu

Mchepuko alivyobadilisha maisha yangu

Maisha yana mambo mengi sana nimeoa miaka kadhaa iliyo pita nina mtoto mmoja natarajia kupata mwingine soon. Mwaka huu kuna dada nilimpata yeye ni single mother lakini bonge la demu yani aliwahi kuzalishwa ni mtoto wa kimalangu mweupee tako kubwa yani amekamilika kila idara huyo dada nmemtongoza karibia miezi 3 anagoma siku alipo nikubali amekuwa mwema sana sioni shida kuhudumia yeye na mtoto wake nimeamua kumpangia nyumba yani ananisisitiza sana kumjali mke wangu siku sijuti kumpata maamuzi niliyo chukua ni kwamba nitaenda kwao kutoa mahari nitaoa awe mke wa pili hata kama dini hairuhusu
Sasa amebadilisha maisha yako kivipi?
 
Najitahidi mkuu, ntazingatia ushauri wako wa kuendelea kula kimya kimya 🤣
Good😃

Sema kuchepuka nako sio poa, kukiwa hamna ulazima tulieni tu na wake zenu na mtazidi kubarikiwa hadi mshangae mlikua mnahangaika nini huko nje.
 
Wanaume wanafki sana

Nyie mnaosema hamna mwanaume wa mwanamke mmoja leo ndo mnampopoa mwenzenu kiasi hiki??
 
Good😃

Sema kuchepuka nako sio poa, kukiwa hamna ulazima tulieni tu na wake zenu na mtazidi kubarikiwa hadi mshangae mlikua mnahangaika nini huko nje.
Ila siku izi inatia faraja kuona wanawake nanyie hampo nyuma kwenye kuchepuka mnakuja kwa kasi ya 4g nadhani soon mtatuovateki kama bado. 🤣

Mi nadhani binadamu hatukuumbwa tuwe na mtu mmoja maisha yote. Tumefosi tu.
 
Maisha yana mambo mengi sana nimeoa miaka kadhaa iliyo pita nina mtoto mmoja natarajia kupata mwingine soon. Mwaka huu kuna dada nilimpata yeye ni single mother lakini bonge la demu yani aliwahi kuzalishwa ni mtoto wa kimalangu mweupee tako kubwa yani amekamilika kila idara huyo dada nmemtongoza karibia miezi 3 anagoma siku alipo nikubali amekuwa mwema sana sioni shida kuhudumia yeye na mtoto wake nimeamua kumpangia nyumba yani ananisisitiza sana kumjali mke wangu siku sijuti kumpata maamuzi niliyo chukua ni kwamba nitaenda kwao kutoa mahari nitaoa awe mke wa pili hata kama dini hairuhusu
Siku ukimwoa ndipo utajua kuwa vitumbua ni muchele wa kuloweka
 
Sasa amekubadilisha nini hapo zaidi ya kukuongezea majukumu?

Unafikiri kwa hudjma unazompa ataacha kujifanya mwema kwa mkeo???

Ndugu,

Hujawajua wanawake....na zaidi hujaijua micheps!!!!

Bado una safarj ndefu sana ya kujifunza.....
 
Jamaa anaonekana kama mgeni upande wa kuchepuka....

Atajua hajui ni swala la muda tu!!!!
Hapo jamaa hajui anatolewa kwenye reli mdogo mdogo, hata mkund** atapewa kisha anaacha familia inateketea
 
Ila siku izi inatia faraja kuona wanawake nanyie hampo nyuma kwenye kuchepuka mnakuja kwa kasi ya 4g nadhani soon mtatuovateki kama bado. 🤣

Mi nadhani binadamu hatukuumbwa tuwe na mtu mmoja maisha yote. Tumefosi tu.
Hahahaaa mmetufundisha nyie, unajua mwanamke akikupenda na ukimtreat vzuri anatulia, hata hisia na wanaume wengine hazitakuja labda awe tu mhuni by nature.

Hamna aliye full package ndio shida, unakuta huyu ana chura ila tabia mbovu, mwingine wife material ila hana exposure😂 lazima mchanganye mambo hapo
 
Back
Top Bottom