Mchepuko alivyobadilisha maisha yangu

Mzaramo huyo au Msukuma
 
Umejiuliza kwann kazalishwa then kaachwa na ni bonge la dem? Tena anakuambia umuheshimu mkeo means kuna mengi hapo nyuma.
Hataki umbane sana.

Mchepuko unagonga unaacha unarudi siku umepatwa na kipururu.
 
Every Gambler knows Secret to Surviving is knowing what to keep and knowing what to throw, cause every hand is a winner and Evey hand is a loser, the best you can hope is to "die" in your sleep/dream!

She is just a Gambler Brother
Good Advice
 
Maisha sasa yamebadirika wapi bro???😅
 
[emoji23] [emoji23] bwege kweli samahani kwa hilo, kwahiyo ukitegemea akwambie mzingue mkeo hahhaa ana akili hujawahi kusikia msemo jifunze kula na kipofu sasa wewe ndo kipofu anajua jinsi ya kula na wewe na kwakuwa kipofu huoni ila utapigwa tukio hilo utajua ujui.
 
Haya ila baada ya miezi sita naomba mrejesho,wenzio walishindwa wewe utaweza?
 
Wakati fulani japo sio nyakati zote michepuko husaidia. Miaka ya nyuma nilikuwa na mchepuko katika mkoa niliokuwa ninaishi. Baadae alihama na tukapotezana km miaka 4. Wakati fulani nilifukuzwa kazi alipata taarifa na kunipigia simu. Na akanihaidi kunitafutia kazi mkoa aliopo baada ya kweli nilifanya interview na nikaanza kazi. Tunaishi kwa kuheshimiana sana na hata watu wanajua ni ndugu. Huwatunapasha kiporo Mara moja moja sana anasema hunionea huruma kwa kuwa wife yuko mbali
 
Inaonekana ndo mara yako ya kwanza kuwa na mchepuko tena baada ya kushika vijihela.
 
Unavunja miiko ya uanaume, toka lini mchepuko unaolewa tena wa Marangu?
 
Mie ni mchaga, na nnakuhakikishia kwa hao dada zangu wa Marangu umeyakanyaga, ni swala la muda tu ni kama kuoa mmachame, utajua hujui we ngoja akujaze kwenye vifungu vya sheria ndio utaona her true colour.
 
Mkuu kama mumeanza kama mchepuko basi tarajia magumu takapo ingia kwenye ndoa.

Kuna mdau hapo juu kasema .. Mchepuko haolewi.
 
Dada anajua kula na kipofu ,yaani nimjanja vibaya mno,umeshakuwa mateka wake
 
Nadhani kwa mtazamo wangu mtu Akiamua kuwa na mchepuko Asitafute mwanamke ambaye Hajaolewa au Single mother, Ahakikishe huo mchepuko wake Umeolewa yaani mchepuko awe ni Mke wa mtu na wewe uwe Mme wa mtu.. Haya mahusiano huwa yanadumu Sana na Hayana gharama Kubwa..
 
Huwa simwamini mchepuko hata km nampenda. Wapo ki maslahi


Kwa baadhi walio wengi ni kweli wako hivyo lakini wapo wachache ambao wanasukumwa na penzi la dhati na siyo maslahi.

Tena Mwanaume akibahatika hata fedha atapewa n.k lakini wa hivyo ni wachache na kuwavumbua mpaka Neema maalum halafu mtoke naye mbali pole pole kwa subira!
 
Every Gambler knows Secret to Surviving is knowing what to keep and knowing what to throw, cause every hand is a winner and Evey hand is a loser, the best you can hope is to "die" in your sleep/dream!

She is just a Gambler Brother
Kenny Rogers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…