Mchepuko anachanganya mapenzi na pesa, nilichomfanyia nadhani kapata funzo

Ulikua na Muda Sasa,
Mimi suala Lile liliku halinihusu,
Nilikua pale Kama msindikizaji TU kutoa sapoti, MDA wa kukimbizana na kesi nisingeweza.
 
Kwani mama J yeye ni mjinga hawezi jua kama hapa natumiwa? Kama hawezi kutambua pumba na mchele, acha atumiwe tu.
 
Kwani mama J yeye ni mjinga hawezi jua kama hapa natumiwa? Kama hawezi kutambua pumba na mchele, acha atumiwe tu.
mamaJ anahisi ananitumia Kama danga lake Ndo Mana anajizima Sana data.

Sasa mwanamke wa hivyo unamuacha afikirie hivyo afu mwisho wa siku Tutajua yeye na Mimi Nani anapoteza
 
Ndio maana sitakagi haya mambo sijui ya kulipiwa kodi maana yanamfanya mwanamke kubweteka. Leo kesho hayupo unaanza kuhaha. Kuna jirani yangu hapa kapangiwa apartmant ya 600k, danga limekata anaanza kuhaha. Mimi nilijifunza kupanga bajeti zangu toka nimemaliza chuo. Na sikutaka kupanga nyumba ambayo mwisho wa siku sitaweza kulipa kodi.
 
Big up hujatuangusha, na umeenda Sawa na makubaliano ya kile kikao chetu cha mwisho
 
Comment of the day
 
Kwa maneno hayo Kinachoendelea Ni kwamba mamaj keshajiwea kundi Flan la maisha, hawez kukubali kuish chini ya Hapo na anaona nipo.
Ndo maana pesa anazopata Hana future yyt ile, hata kufungua duka tunalazimishana maana hata uuzaji wake anauza anavojiskia.

mamaJ anawz kukaa mwezi hajaenda dukn,muuzaji anauza na kuagiza mzgo mwnyw.

Sasa dada angu Kuna biashara gan Hapo,
Umkisema hafatilii biashara yake, anadai nisimchunge chunge yy sio mtt mdg.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…