Mchepuko hautaki tuwekeze unachojua wenyewe ni kutumiwa hela na kula tu

Sio mchepuko tuu, wanawake wengi hawataki kuwezeshwa, wanataka kuhudumiwa.
Mwanamke hakuumbiwa hizo hekaheka ndio maana walio kwenye pipeline ya kupata njururu bado wanahangaika kutafuta faraja.
 
Kwa akili ya huyo mchepuko ,wewe ndiyo inabidi ufungue biashara kisha maokoto yaingie kwake hapo utakuwa umemsaidia kumfunguklie biashara ambayo yeye ndiyo itakuwa yake.
 
Kwa akili ya huyo mchepuko ,wewe ndiyo inabidi ufungue biashara kisha maokoto yaingie kwake hapo utakuwa umemsaidia kumfunguklie biashara ambayo yeye ndiyo itakuwa yake.
Hiyo ni kusema niendelee kumhudumia kwa kila kitu
 
Biashara ndiyo itakuwa inamuhudumia ,mfungulie bioashara yake ambayo maokoto ya huko ndiyo yatakuwa yanamuhudumia ,wewe hautatoa pesa yako mfukoni tena.
Nifanye mimi biashara maokoto yawe yake sasa kuna utofauti gani na kumhudumia
 
Tunasubiri uje utuandikie uzi wa ushuhuda ukisha tendewa miujiza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…