Mchepuko hautaki tuwekeze unachojua wenyewe ni kutumiwa hela na kula tu

Nifanye mimi biashara maokoto yawe yake sasa kuna utofauti gani na kumhudumia
Nimesema mfungulie biashara yake ambayo maokoto yatokanayo na biashara yatakuwa yanamuhudumia yeye ,wewe unakuwa ushajitoa......Hiyo biashara utakatomfungulia wewe unakuwa hauhusiki na chochote maana unamkabidhi yeye,baada ya kumkabidhi maokoto ya huko yatakuwa yanamuhudumie yeye kama yeye so mizinga inakwisha.
 
Kama umesoma uzi vizuri hilo ndio lilikuwa lengo langu ila hataki nimeachana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…