''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

Kwa nini umefanya ubadhirifu wa machozi hivyo?
 
Sema Tanzania tuna waandishi na watangazaji makanjanja sana kujisemea Mzee Mkapa.

Just imagine mtangazaji anaongea lugha ya ajabu kama โ€œMarehemu ambaye ameweza kufariki duniaโ€œ sasa sijui ni mbwembwe wanaongeza hadi kukuta wamekosea?
 
Nilipoiona nilijisikia aibu mpaka nikasema kumbe marehemu alikuwa na makando kando mengi pengine ikasababisha hata moyo kulemewa.

Hatujui inawezekana huyo mwanamke alitumia mtoto kama fimbo ya kumtesa marehemu.

Anyways huyo dada aliona ndiyo wakati sahihi kwake kusikilizwa anyway.

Umesema alikuwa na mtoto mmoja kwenye ndoa, wale wengine wawili je?

Wanaume heeee, heeee
 
Sema Tanzania tuna waandishi na watangazaji makanjanja sana kujisema Mzee Mkapa.

Just imagine mtangazaji anaongea lugha ya ajabu kama โ€œMarehemu ambaye ameweza kufariki duniaโ€œ sasa sijui ni mbwembwe wanaongeza hadi kukuta wamekosea?
Eti yanasemwa maneno mengine yanayo mkwaza marehemu hata kama amefariki ๐Ÿ˜†
 
Aisee tulio na watoto wa Siri tujipange.
Kumbe dogo alikua na sehemu anakwenda kupona wakati kanisani anakaa viti vya mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ