''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

Unao wangap mkuu,mi nina kamoja ka siri..sijutii kuwa naye. Kwanza mama yake ana kipato kikubwa..hawezi kuja kuleta vurugu kama hizo
Kama mtoto wako wa nje Ni mkubwa kwa umri kuliko Hawa wa ndani, Hilo linazungumzika. Kama Ni mdogo kuliko hao wa nyumbani, kaa kimachale.
Yuko jamaa yangu amezaa na singo maza jirani kabisa halafu huyo singo maza anatoka sehemu moja na mkewe. Jamaa Hana Amani kabisa kibaya zaidi sura ya mtoto Ni Kama alijipiga photocopy.
 
Amlete hata kesho,watoto ni ndugu zangu..na siwezi kukana mkuu. Ataondoka mwanamke aniachie mtoto..huwa sijali. Wewe utakuwa mke wako anakupa backup ya kipato ndo maana unahofu kumuacha
 
Waandishi wamekuza hii habari kwa vile jamaa ni mtu maarufu .Misiba mingi tu nimeshuhudia watu wanaleta watoto ni copy kabisa na marehemu wakidai alizaa nje , nimeshuhudia mpaka mtu ana watoto wa nje watatu ..
 
Mtoto haramu au wa nje ya ndoa hatambuliki kidini na kisheria

Sheria haitambui kitu kinachoitwa mtoto wa nje ya ndoa .
Embu soma hiyo sheria ya mtoto hapo chini ili utanue uelewa wako . Mtoto ni mtoto tena sheria inakataza ubaguzi wa aina yeyote kwa mtoto.
Hilo suala la mtoto wa nje ya ndoa lipo tu kwa mujibu wa sharia za kiislamu kwenye mirathi yao
Ila kiserikali hakuna hicho kitu
 

Attachments

Mh hiyo ngumu kwa mwanaume lijali kuitolea maamuzi.
Wacha nikae kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…