''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

Hiyo interview nimesikiliza Ila nimeona mambo Kama mawili ,matatu.

Wamiliki wa hiyo online wanatafuta kiki na views

Mtangazaji anayefanya mahojiano anaonekana ni MTU mjinga ambaye hana taaluma na maadili katika Kazi yake.

Kuhusu nilivyokuwa namfahamu Marco Joseph - huyu jamaa niseme alikuwa mbele ya muda Sana

Kifikra
Kimaono
Kiuchumi

Huyu niseme zabron ni yeye na yeye ni zabron.

Simtetei kuwa hawezi kuwa na mchipuko Ila kuhusu huyo mwanamke anatumika kujaribu kuua reputation ya kundi la zabron singer
 
Yaani kwa Wasabato huyo dada angeongea kabla ya mazishi wasingemzika, hata kama waliweka msalaba kwenye kaburi watautoa.

He lost his identity.
Aunt Mamndenyi siku hizi wanaangalia pesa zaidi. Kenyatta pamoja na kujulikana aliwasaliti wenzake na kuua wengine, bado alizikwa na jopo la maaskofu.
Kama mchungaji ameshakula pilau la watu na kapu la sadaka linasoma hawezi kuwacha kuzika.
Ila Kama familia haina pesa Sheria itachukua mkondo wake.
 
Aunt Mamndenyi siku hizi wanaangalia pesa zaidi. Kenyatta pamoja na kujulikana aliwasaliti wenzake na kuua wengine, bado alizikwa na jopo la maaskofu.
Kama mchungaji ameshakula pilau la watu na kapu la sadaka linasoma hawezi kuwacha kuzika.
Ila Kama familia haina pesa Sheria itachukua mkondo wake.
Huko mbali sana,Reginald Mengi alioa na kutaliki ba kuoa tena,kazikwa na maaskofu lukuki
 
Sheria haitambui kitu kinachoitwa mtoto wa nje ya ndoa .
Embu soma hiyo sheria ya mtoto hapo chini ili utanue uelewa wako . Mtoto ni mtoto tena sheria inakataza ubaguzi wa aina yeyote kwa mtoto.
Hilo suala la mtoto wa nje ya ndoa lipo tu kwa mujibu wa sharia za kiislamu kwenye mirathi yao
Ila kiserikali hakuna hicho kitu
Endelea kujidanganya fatilia kesi za mirathi kwenye mahakama zetu ili uje ufute huu ujinga wako hapa.Mfano mimi kwenye mgawanyo wa Mali baba yetu aliwahi kuchepuka na akabahatika kupata mtoto 1 ila kwenye mgawanyo wa Mali hakuwepo.
 
Endelea kujidanganya fatilia kesi za mirathi kwenye mahakama zetu ili uje ufute huu ujinga wako hapa.Mfano mimi kwenye mgawanyo wa Mali baba yetu aliwahi kuchepuka na akabahatika kupata mtoto 1 ila na kwenye mgawanyo wa Mali hakuwepo.
Labda aliamua kupotezea ila angekomaa angepata haki yake sheria inamtambua hayo mambo yapo bakwata huko ila mahakamani aliamua kupotezea ni kesi nyepesi sana hiyo ndugu
 
Kosea yote maishani ila usije kosea kutembea na mwanamke wa ovyo.

Na kuchepuka kupo ila ikishakuwa umeoa inabidi u control kusikilizia utamu kupitiliza.

Huyu demu amekaa kimaslahi zaidi. Hakuna chembe ya uchungu kwenye sura yake.
Hapo kwenye kutembea na mwanamke wa hovyo mkuu watu wengi hawatakuelewa ila yalishawahi kunikuta hayo ,
Niliwahi kuwa na mwanamke ana akili mbili na nusu hana wazo lolote la maana yeye muda wote anawaza shughuli na maharusi
Kutwa anaomba elfu tano tatu mwanamke gani huyo

Gubu vibaya mnoo na adabu hana kuna siku tupo lodge sikumbuki tulikosana nini ebwanaeee acha apayuke kwa sauti eti anataka anijazie watu chumbani duuh nikaona hapa hamna mtu.
 
Back
Top Bottom