''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

Hilo ulichukua jumba bovu kabisa.

Kuna mmoja nilikutana nae barabarani nikasema demu si ndio huyu.

Tulichat siku mbili tatu ikafika kwenda kufahamiana zaidi. Kufika lodge mhudumu aliposema bei ya chumba elfu 50, demu aling'aka kama analipa yeye. Akaanza kusema si bora tungeenda lodge za elfu 10 halafu hiyo 40 unipe mimi.

Yani pale pale nilimshusha thamani. Sio sababu ya kutaka kuwa mchumi bali jinsi alivyopayuka mpaka wote kuoneka kituko.
Kimeo hicho
 
ungojevu ni muhimu,,ishu sio kufanya siri,angewafata ndugu baadae na huo utambulisho,,afu kwa mwanaume kuzaa nje ni kawaida sana saivi,hata mimi mwanaume wangu sitamzuia,,ila bi mdashi asiwe na papara.
Aisee. Basi na wewe huwa unachepuka. Kuna couple naijua, kila mmoja anakula maisha anavyopenda. Miezi miwili wako pamoja, miezi miwili wameachana kwa ugomvi mkubwa, ikipita mwezi mmoja wako tena pamoja. Na kila mmoja anatembea na mwanaume/mwanamke anayetaka. Wameshazaa watoto watatu kwa style hii hii ya maisha. Nachomsifi huyo bibi ni kuwa anazaa na huyo mumewe tu na watoto wamefanana na baba yao kama mapacha.
 
Ukimwi utawatenganisha soon
 
sichepuki ila najua kwa karne hii kuzuia ni ngumu,, ingawa siwezi onesha wazi kua nmemruhusu,anaweza nidharau mno
 
Back
Top Bottom