Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Unaonekana mzoefuKama mali ipo lazima udaiwe.
Kama mali hakuna tunajitokeza ukoo umjue mtoto wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonekana mzoefuKama mali ipo lazima udaiwe.
Kama mali hakuna tunajitokeza ukoo umjue mtoto wao.
Wewe unazo?Shida inaanzia hapo! Kwa wanaume wengi akili sio kigezo🙄
Mzoefu weweungojevu ni muhimu,,ishu sio kufanya siri,angewafata ndugu baadae na huo utambulisho,,afu kwa mwanaume kuzaa nje ni kawaida sana saivi,hata mimi mwanaume wangu sitamzuia,,ila bi mdashi asiwe na papara.
Ndiyo mtupe hizo nembe Sasa!Kuna hao na kuna mapadri aroooo wanaume wakimya wacha Mungu wasiokunywa pombe wanapenda k kama chakula
Hapana😀😀Unaonekana mzoefu
kawaida io kwa sasa,,ulinde sana moyo wako,kuliko vyote ulindavyo,maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.Mzoefu wewe
tia nenoMmmh
Hii imekaa poa sana 🔥🔥Aisee. Basi na wewe huwa unachepuka. Kuna couple naijua, kila mmoja anakula maisha anavyopenda. Miezi miwili wako pamoja, miezi miwili wameachana kwa ugomvi mkubwa, ikipita mwezi mmoja wako tena pamoja. Na kila mmoja anatembea na mwanaume/mwanamke anayetaka. Wameshazaa watoto watatu kwa style hii hii ya maisha. Nachomsifi huyo bibi ni kuwa anazaa na huyo mumewe tu na watoto wamefanana na baba yao kama mapacha.
Uwiiii!! 😅😅Na huyo ndo msabato sasa hawa kina karunguyeye wasiojua hata mlango wa kanisa itakuwaje? Demu lenyewe baya pua zimemsambaa uso mzima
Eti dah dah sijaelewa hivi umejisikiaje na huu msiba dah dah sijaelewa hivi inakuaje mtu ana kuwa mcha mungu alafu anakuwa na mchepuko nje na watoto dah dah 😆😆😆anaehoji ni hovyo sana...kuliko huyo dada
Mkuu wtu nowdayz hawaelewiKuna wanawake ni nusu watu nusu hayawani.
Takriban wiki moja iliyopita muimbaji wa nyimbo za injili Marco Zabron wa kundi la Zabron Singers alifariki jijini Dar es salaam.
Mapema wiki hii shughuli ya mazishi ikawa inafanyika huko Kahama mkoani Shinyanga kwao na marehemu.
Marehemu alikuwa ameoa na ana watoto.
Katikati ya majonzi msibani akaibuka huyu nusu mtu nini sijui na kudai yeye eti alikuwa mchepuko wa mtumishi amezaa nae na anataka mgawo wa mali au mtoto atambulike rasmi.
Mchepuko umekuja na kadi ya clinic, mawasiliano ya WhatsApp na picha walizopiga na marehemu kama ushahidi.
Yaani disco aliingia mmasai. Kwanini hakusubiri msiba ukaisha akaenda kistaarabu kujitambulisha.
Nimelia sana maana hata mi nikifa leo naweza kupata aibu kama hiyo na ninavyo heshimika kanisani.
Ninyi ndio mnaooa kwa kuangalia sura na tako.Na huyo ndo msabato sasa hawa kina karunguyeye wasiojua hata mlango wa kanisa itakuwaje? Demu lenyewe baya pua zimemsambaa uso mzima
Ila bado ulipiga. Hapa ndio utajua Mungu fundiHilo ulichukua jumba bovu kabisa.
Kuna mmoja nilikutana nae barabarani nikasema demu si ndio huyu.
Tulichat siku mbili tatu ikafika kwenda kufahamiana zaidi. Kufika lodge mhudumu aliposema bei ya chumba elfu 50, demu aling'aka kama analipa yeye. Akaanza kusema si bora tungeenda lodge za elfu 10 halafu hiyo 40 unipe mimi.
Yani pale pale nilimshusha thamani. Sio sababu ya kutaka kuwa mchumi bali jinsi alivyopayuka mpaka wote kuoneka kituko.
Utanuna buretia neno