''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

Aisee. Basi na wewe huwa unachepuka. Kuna couple naijua, kila mmoja anakula maisha anavyopenda. Miezi miwili wako pamoja, miezi miwili wameachana kwa ugomvi mkubwa, ikipita mwezi mmoja wako tena pamoja. Na kila mmoja anatembea na mwanaume/mwanamke anayetaka. Wameshazaa watoto watatu kwa style hii hii ya maisha. Nachomsifi huyo bibi ni kuwa anazaa na huyo mumewe tu na watoto wamefanana na baba yao kama mapacha.
Hii imekaa poa sana 🔥🔥
 
Kuna wanawake ni nusu watu nusu hayawani.

Takriban wiki moja iliyopita muimbaji wa nyimbo za injili Marco Zabron wa kundi la Zabron Singers alifariki jijini Dar es salaam.

Mapema wiki hii shughuli ya mazishi ikawa inafanyika huko Kahama mkoani Shinyanga kwao na marehemu.

Marehemu alikuwa ameoa na ana watoto.

Katikati ya majonzi msibani akaibuka huyu nusu mtu nini sijui na kudai yeye eti alikuwa mchepuko wa mtumishi amezaa nae na anataka mgawo wa mali au mtoto atambulike rasmi.

Mchepuko umekuja na kadi ya clinic, mawasiliano ya WhatsApp na picha walizopiga na marehemu kama ushahidi.

Yaani disco aliingia mmasai. Kwanini hakusubiri msiba ukaisha akaenda kistaarabu kujitambulisha.

Nimelia sana maana hata mi nikifa leo naweza kupata aibu kama hiyo na ninavyo heshimika kanisani.

Mkuu wtu nowdayz hawaelewi
 
We kapeace wewe miyeyusho utasemaj mwanamke mbaya!?kwko ndo mbaya,huyo marehem unajua alipendea nn kwahuyo dada.huyo dada yuko sahihi na anatafuta mustakabali wa mtoto wke.we unafikir ni sehem gn nyingine sahihi angeend kuongea na kuelewek
 
Hilo ulichukua jumba bovu kabisa.

Kuna mmoja nilikutana nae barabarani nikasema demu si ndio huyu.

Tulichat siku mbili tatu ikafika kwenda kufahamiana zaidi. Kufika lodge mhudumu aliposema bei ya chumba elfu 50, demu aling'aka kama analipa yeye. Akaanza kusema si bora tungeenda lodge za elfu 10 halafu hiyo 40 unipe mimi.

Yani pale pale nilimshusha thamani. Sio sababu ya kutaka kuwa mchumi bali jinsi alivyopayuka mpaka wote kuoneka kituko.
Ila bado ulipiga. Hapa ndio utajua Mungu fundi
 
Back
Top Bottom