Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Kama mtoto wako wa nje Ni mkubwa kwa umri kuliko Hawa wa ndani, Hilo linazungumzika. Kama Ni mdogo kuliko hao wa nyumbani, kaa kimachale.Unao wangap mkuu,mi nina kamoja ka siri..sijutii kuwa naye. Kwanza mama yake ana kipato kikubwa..hawezi kuja kuleta vurugu kama hizo
Yuko jamaa yangu amezaa na singo maza jirani kabisa halafu huyo singo maza anatoka sehemu moja na mkewe. Jamaa Hana Amani kabisa kibaya zaidi sura ya mtoto Ni Kama alijipiga photocopy.