BEZO
JF-Expert Member
- Jul 15, 2023
- 1,770
- 4,449
Hilo ni la kushangaza?Wanaume mtakufa midomo wazi jamani! Yani mke unalia misiba miwili, kumpoteza mume na usaliti aliokuwa akikufanyia mume mpaka na mtoto kazaa kabisa!
Mungu atusaidie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ni la kushangaza?Wanaume mtakufa midomo wazi jamani! Yani mke unalia misiba miwili, kumpoteza mume na usaliti aliokuwa akikufanyia mume mpaka na mtoto kazaa kabisa!
Mungu atusaidie.
Upo wap❤️❤️❤️❤️❤️
Ndio wanakuwaga na mnato hao!Na huyo ndo msabato sasa hawa kina karunguyeye wasiojua hata mlango wa kanisa itakuwaje? Demu lenyewe baya pua zimemsambaa uso mzima
Watu hawajui mwanamke hata awe mzuri vipi akiwa hana mnato uzuri wote una poteaNdio wanakuwaga na mnato hao!
Tema mate chini ndugu yangu kasoro za uumbaji hakuomba kuwa alivyo. Sisi si lolote sekunde kugusa unageuka kuwa vile ulivyowadhania wengine kuwa wabaya.Na huyo ndo msabato sasa hawa kina karunguyeye wasiojua hata mlango wa kanisa itakuwaje? Demu lenyewe baya pua zimemsambaa uso mzima
Unapataje aibu na wewe umekufa zako watajua wenyewe!Kuna wanawake ni nusu watu nusu hayawani.
Takriban wiki moja iliyopita muimbaji wa nyimbo za injili Marco Zabron wa kundi la Zabron Singers alifariki jijini Dar es salaam.
Mapema wiki hii shughuli ya mazishi ikawa inafanyika huko Kahama mkoani Shinyanga.
Marehemu alikuwa ameoa na ana mtoto,
Katikati ya majonzi msibani akaibuka huyu nusu mtu nini sijui na kudai yeye eti alikuwa mchepuko wa mtumishi amezaa nae na anataka mgawo wa mali au mtoto atambulike rasmi
Mchepuko umekuja na kadi ya clinic ,mawasiliano ya watsapp na picha walizopiga na marehemu kama ushahidi
yaani disco luliingia mmasai.
kwa nini hakusubiri msiba ukaisha akaenda kistaarabu kujitambulisha.
nimelia sana maana hata mi nikifa leo naweza kupata aibu kama hiyo.na ninavyo heshimika kanisani
Mnato na akafichwa kuliko ARVNdio wanakuwaga na mnato hao!
hawa ndio wanajua kuifinyia ndani utundu mwingi watoto wa kiswahili hao ww umekariri shepu,sura na make up nyingi eti pisi kali usidharau watu mkuu oohoo.!Bora angechepuka kwa pisi Kali basi.. ni nini sasa hicho
Kuleni wanawake wenye akiliKuna wanawake ni nusu watu nusu hayawani.
Takriban wiki moja iliyopita muimbaji wa nyimbo za injili Marco Zabron wa kundi la Zabron Singers alifariki jijini Dar es salaam.
Mapema wiki hii shughuli ya mazishi ikawa inafanyika huko Kahama mkoani Shinyanga.
Marehemu alikuwa ameoa na ana mtoto,
Katikati ya majonzi msibani akaibuka huyu nusu mtu nini sijui na kudai yeye eti alikuwa mchepuko wa mtumishi amezaa nae na anataka mgawo wa mali au mtoto atambulike rasmi
Mchepuko umekuja na kadi ya clinic ,mawasiliano ya watsapp na picha walizopiga na marehemu kama ushahidi
yaani disco luliingia mmasai.
kwa nini hakusubiri msiba ukaisha akaenda kistaarabu kujitambulisha.
nimelia sana maana hata mi nikifa leo naweza kupata aibu kama hiyo.na ninavyo heshimika kanisani
Mmeanzaaa watakatifu,Tema mate chini ndugu yangu kasoro za uumbaji hakuomba kuwa alivyo. Sisi si lolote sekunde kugusa unageuka kuwa vile ulivyowadhania wengine kuwa wabaya.
Na rafiki zangu wasabato ,itoshe tu kusema wote zipu zao mbovu.Ila sura za kiungwanaaa.Na huyo ndo msabato sasa hawa kina karunguyeye wasiojua hata mlango wa kanisa itakuwaje? Demu lenyewe baya pua zimemsambaa uso mzima
Nawajua sana nimefunika tu ila wanaume ni wauaji nyieNa rafiki zangu wasabato ,itoshe tu kusema wote zipu zao mbovu.Ila sura za kiungwanaaa.
Case study : Mzee MachacheHawa hutoaga vikojoleo kwa wenye uwezo mawazo yakiwa kwenye MALI tu
Yani wanazaa kwa mrengo wa pesa tu hakuna kingine
Ndio maana baadhi yao wakiona haukufi (voice of dj afro) wanakuwahisha ili kutimiza dhamira yao.
Tamaa ndio zinatuhangaisha .Hakuna mkamilifu.Nawajua sana nimefunika tu ila wanaume ni wauaji nyie