''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

Na huyo ndo msabato sasa hawa kina karunguyeye wasiojua hata mlango wa kanisa itakuwaje? Demu lenyewe baya pua zimemsambaa uso mzima
285d46e5ec20d1e0c99c8aa9b921bb40.jpg
 
Wewe ukifa utapaje aibu wakati hujui linaloendelea? Kwa mwanaume hilo si ajabu kuwa na mtoto nje na wala haiwezi kuwa aibu. Kikubwa no kupatata uthibitisho basi inatosha
Asante kwa kunipa moyo rasmi sasa siuachi tena mchepuko wangu
 
Unao wangap mkuu,mi nina kamoja ka siri..sijutii kuwa naye. Kwanza mama yake ana kipato kikubwa..hawezi kuja kuleta vurugu kama hizo
Wengine hawataki mali wanataka kutambulika tu
 
Unao wangap mkuu,mi nina kamoja ka siri..sijutii kuwa naye. Kwanza mama yake ana kipato kikubwa..hawezi kuja kuleta vurugu kama hizo
Kama mama yake bado hajaolewa usijipe moyo. Single mother Ni MTU mmoja huwezi kufanya naye deal.
Kuna siku atamleta mchana kweupe ili tu atambuliwe na Wana ukoo.
Tena anaweza kukuvizia umetoka out na wife mko sehemu mnainjoi ndio anamleta ili tu amtie wife nyongo.
 
Sure,wengine hawataki mali bali kutambulika tu
 
Na huyo ndo msabato sasa hawa kina karunguyeye wasiojua hata mlango wa kanisa itakuwaje? Demu lenyewe baya pua zimemsambaa uso mzima
Hawa wasabato wa kiume wengi wao ni wazinzi balaa. ( Sijajua kuhusu wa kike)

Wanazingatia mnoo Ile siku ya jumamosi tu. Ila ikipita ni kama koki ya maji imefunguliwa. Uzinzi mwanzo mwisho.

Mungu awasaidie aisee.
 
Back
Top Bottom