Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Maiti hailaumiwiMaiti hasikii aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maiti hailaumiwiMaiti hasikii aibu
Maisha yenyewe mafupi acha tujaze ulimwenguWanaume mtakufa midomo wazi jamani! Yani mke unalia misiba miwili, kumpoteza mume na usaliti aliokuwa akikufanyia mume mpaka na mtoto wakazaa kabisa!
Mungu atusaidie.
Umeona mzigo aloukalia hapo nyuma au unaongea tu Kenge wewe🤣Bora angechepuka kwa pisi Kali basi.. ni nini sasa hicho
Kama ameukalia ww umeuonajeUmeona mzigo aloukalia hapo nyuma au unaongea tu Kenge wewe🤣
Ndo utulie sasa tunaomjua hatuongei sana.Kama ameukalia ww umeuonaje
Unachepuka kwa takataka kuliko mke wako! Ila sisi wanaume! Domo sasa lilivyokaa! Badala ugonge pisi ili hata mazahouse akikudaka anakusamehe!Bora angechepuka kwa pisi Kali basi.. ni nini sasa hicho
AstakhafirullahNa huyo ndo msabato sasa hawa kina karunguyeye wasiojua hata mlango wa kanisa itakuwaje? Demu lenyewe baya pua zimemsambaa uso mzima
Kutokea mashariki hadi magharibi imejaa yenyewe tuAstakhafirullah
Yaani unamaanisha kuwa Pua imechukua sehemu kubwa ya Uso wake?
Nimetafakari na kucheka sana asubuhi ya leo mpaka nimepaliwa na maji na kumwagia mtoto kifuaniKutokea mashariki hadi magharibi imejaa yenyewe tu
Noma sana!Akitulia utamsaidia kulea huyo mtoto?
Wapo but mpaka afike hapo ni kwamba ameshapitia kila rangi, kwakwe hakuna jipya tenaHakunaga mwanaume mwenye mpenzi mmoja
Kwenye makambi ukikosa nyama ya hamu Ni wewe tu hujataja. Kumbuka wasabato wengi Ni wapare.Ila wasabato na hako kaugonjwa ka chini...wako vizuri!
Mnato na kufinyiwa kwa ndani ndio kwa muhimu. We ringia huo uzuri wako tu.mimi sio mchepuko dada mweee 😂😂😂ila huo msamba wa pua umenifurahisha
Takro na mnato vinazidi vyote hivyo sio mimi niliyesema,bali akili za vijana wa leoHatukatai hamuezi kutulia na mwanamke mmoja .Muwe basi mnaangalia huyo unaechepuka nae.Yani unaenda kuchepuka na limtu Halina huruma,aibu wala akili.Ungechepuka na mwenye busara zake asingeweka hadharani huo upuuzi.
Mnato sana sana 🔥🔥🔥Takro na mnato vinazidi vyote hivyo sio mimi niliyesema,bali akili za vijana wa leo