''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

Huyo mwanamke ni jasiri, ni akili kubwa. Ameweka mambo sawa kwa maisha ya mbele ya mtoto wake na yake mwenyewe. Hapo aliposema ndio wakati muafaka pa kusemea. Kwenye msiba huwaga wanauliza kama kuna mtu yoyote anayemdai marehemu. Huyu dada hakutaka kuwa mnafiki.
 
Hatukatai hamuezi kutulia na mwanamke mmoja .Muwe basi mnaangalia huyo unaechepuka nae.Yani unaenda kuchepuka na limtu Halina huruma,aibu wala akili.Ungechepuka na mwenye busara zake asingeweka hadharani huo upuuzi.
 
Takro na mnato vinazidi vyote hivyo sio mimi niliyesema,bali akili za vijana wa leo
 
Kwanini michepuko na singo mazas inanyooshewa vidole kuliko changu doa.
Ukiweza kusikia wamama hasa wale wa kikanisani zaidi wanavyowasema michepuko na singo mazas hautakaa uwaheshimu singo mazas.
We angalia hata vikundi vya wamama mtaani kwako, hawampendi kuwa include singo mazas.
 
Back
Top Bottom