Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umenipa raha sana aisee, yaani nimecheka hadi hapa officene wamenishangaaaIngekuwa mimi ningefanya hivi.
1.Naendelea na safari kama kawaida
2.Nitalala guest kesho yake nitarudi nilikotoka.
3.Nitatafuta sababu yeyote nimpige chini mchepuko na nitakata mawasiliano kuanzia hapo.
4.Nitakaa huko kama week ili mchepuko amalize hasira zake zote.
5.Baada ya hapo nitarudi nyumbani na nitaingia usiku kwa mke wangu hivyo huyo x-mchepuko ataniona asubuhi na hata tukionana nitampa salamu tu kama jirani na kumpotezea, hapo hata kama akileta vurugu itakuwa ndogo sana kwakuwa itakuwa ni vurugu yakutaka kurudiana na sio ya fumanizi.