Mchepuko umekuja kupanga nyumba ninayoishi na familia yangu

Mchepuko umekuja kupanga nyumba ninayoishi na familia yangu

Kaka,mpigie simu huyo mchepuko, kama mlivopanga mkutane stand. Kisha mwambie alipohamia ndipo unapoishi na umwambie una make wako. Kama anapenda kuchepuka nawe, basi ahame ndani ya wiki mbili.kisha kila mmoja aende nyumbani kivyake. Kisha ukifika nyumbani salimiana Naye kama mpangaji na usijihusushe naye kabisa,(mtoe moyoni mwako). Asipohama, hama wewe. Angalizo:- hiyo mchepuko, ana taarifa zako zote. Yeye kahamia ulipo ili uchague kati yake na mkeo. Kaka, kama umechepuka naye zaidi ya Mara tatu, ujue huyo ana taarifa zako zote. Chagua kusuka UA kunyoa.
 
Dah kama ulimficha mwambie u kweli kama ume oa yeye achague kubaki na ww au asepe
 
Mkuu ni rahisi tuu muite akupokee muende hotel mwambie alafu ukweli yeye akaushe nq ufanye juu chini umuhamishe
 
huoni kama anajipa tabu na kuishi kwa mashaka mpaka anakuja humu kuomba msaada
Hiyo issue ni simple sana labda kama hana uzoefu na hiyo mambo au mchepuko wake hauna ustaarabu. Wanatakiwa kupiga kimyakimya kama kula na kipofu.
 
Yaani utuchoshe kushauri kwa zinaa zako...

Mcheps una akili sana
 
Insikitisha sana...

Mwisho wa ubaya ni aibu... Hapo kuna kisu(mchepuko) na jambia (Wife), sipati picha mshike mshike wake...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom