linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,724
- 4,381
Duu naona comment imekugusa...Mkuu hii imepitiliza kiwango, punguza hasira, Maisha yenyewe yako wapi? Acha jamaa ajivinjari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu naona comment imekugusa...Mkuu hii imepitiliza kiwango, punguza hasira, Maisha yenyewe yako wapi? Acha jamaa ajivinjari
Mkuu kila mtu na maisha yake. Usimpangie jinsi ya kuishi kwani maisha yamekuwa mafupi mno. Mi huwa nashangaa watu wenye mawazo mazuri mazuri ya kujenga ndo wanaongoza kwa umasikini.Pumbavu kabisa wewe,badala ya hela yako kuweka akiba ili upate kibanda unaendekeza mamabo ya kizamani,utaendelea kulipia usingizi maisha yako yote
Aaah, kwa wanaume Ni possible kabisa, yaani nimeoa halafu nikwambie ukweli kua eti naishi sehemu flani? Ni lazima uwe mchepuko mstaarabu Sana na WA muda mrefu ndo nitakwambia napo naweza Tu kukutajia eneo, yaani nikakwambia Tu naishi Tabata.Mmh! Mbona kama ni vigumu kutokea kwa sababu sidhani kama hujawahi kumwambia unaishi wapi hiyo ni ngumu aisee.
Hivyo huyo alistahili hicho kinachotaka kutokea basi akubaliane nacho tu.Aaah, kwa wanaume Ni possible kabisa, yaani nimeoa halafu nikwambie ukweli kua eti naishi sehemu flani? Ni lazima uwe mchepuko mstaarabu Sana na WA muda mrefu ndo nitakwambia napo naweza Tu kukutajia eneo, yaani nikakwambia Tu naishi Tabata.
Mkuu unajua Kuna watu wengine namna ya ushauri wanaomba akati mwingine ni kituko.Duu naona comment imekugusa...
Mkuu kuna ambao hawana michepuko na bado wanaishi nyumba za kupanga.Na kuna ambao wana mpaka wanne na wanaendelea kujenga.Kujenga ni mipango mkuu.Mpe ushauri nduguyo.Pumbavu kabisa wewe,badala ya hela yako kuweka akiba ili upate kibanda unaendekeza mamabo ya kizamani,utaendelea kulipia usingizi maisha yako yote
Ha ha ha haaaa.. Ili kuepuka yote haya Kuna option mbili Tu za kukusaidiaa, kwanza kuepuka kabisa mambo ya MPANGO WA KANDO, hapo unakua free Sana, hata simu yako msg ikiingia unamwambia wife hebu nisomee hiyo msg imetokaa kwa nani hapo me naona uvivu kunyanyuka hapa.Hivyo huyo alistahili hicho kinachotaka kutokea basi akubaliane nacho tu.
Ndio muambizane sasa muwe mnasema mnapoishi ili isijirudie