Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hii ni kweli,basi maombi ya mchepuko wako kuomba kuwa sehemu ya familia yako yamejibiwa!au ulikua unategemea nini labda!Mmh! Mbona kama ni vigumu kutokea kwa sababu sidhani kama hujawahi kumwambia unaishi wapi hiyo ni ngumu aisee.
Duh.! Huo ushauri ni mubashara kabisa.[emoji12]Ebhana apo utaharibu na utachafua hali yahewa nakuleta mtafaruku kwene familiya yako ww chakufanya hapo ahilisha kabisa kufika Hom kalale hata guest muite uyo mchepuko wako awe mpole naiwe siri kama ataweza. ..lasivyo Muambie umeoteshwa kua hiyo sehem alipohamia sio nyumba nzuri inamadudu mabaya nayatammaliza cku mbili hizi kwaiyo hutofika hata kwadawa na kesho lazima ahame upo radhi umtafutie sehem hata usiku huu huu
HahahahahahahaaaaaaNakumbuka kuna tangazo la simu walikua wakisema "Tunakosegezea huduma kwenye vidole vyako" hahahah ushindwe wewe
Nakumbuka kuna tangazo la simu walikua wakisema "Tunakosegezea huduma kwenye vidole vyako" hahahah ushindwe wewe
Ajisevie tu huduma kiganjani mwakeNakumbuka kuna tangazo la simu walikua wakisema "Tunakosegezea huduma kwenye vidole vyako" hahahah ushindwe wewe
Kama umeshajenga ni sawa hata hivyo hupaswi kuwaangaisha family wakati mji upo.Mkuu tayari Nina nyumba yangu, ila huku nimehamishiwa kikazi na ndio maana nimepanga...au ulitaka nihame na nyumba yangu?
Kwanza ni upumbavu kuwa na mchepuko huku bado ujajenga na una watoto!
Ingekuwa mimi ningefanya hivi.
1.Naendelea na safari kama kawaida
2.Nitalala guest kesho yake nitarudi nilikotoka.
3.Nitatafuta sababu yeyote nimpige chini mchepuko na nitakata mawasiliano kuanzia hapo.
4.Nitakaa huko kama week ili mchepuko amalize hasira zake zote.
5.Baada ya hapo nitarudi nyumbani na nitaingia usiku kwa mke wangu hivyo huyo x-mchepuko ataniona asubuhi na hata tukionana nitampa salamu tu kama jirani na kumpotezea, hapo hata kama akileta vurugu itakuwa ndogo sana kwakuwa itakuwa ni vurugu yakutaka kurudiana na sio ya fumanizi.