Mchepuko umenizalia ka 'beautifu girl'

Mchepuko umenizalia ka 'beautifu girl'

Kwani na wewe ni beautiful? Kama wewe sio beautiful na katoto ni beautiful basi ujue kuna beautiful kamkula mchepuko wako na kamzalisha
 
Sasa kama wewe sio HB unategemea mtoto gani ili usikimbie uzao wako🤣
Wakati wa kumtengeneza kuna aina fulani za mapozi,sasa wewe unatumia dogi staili utegemee upate kitu kizuri
 
Back
Top Bottom