Mchepuko umenizalia ka 'beautifu girl'

Mchepuko umenizalia ka 'beautifu girl'

Kweli mkuu,ndio maana kwenye mifugo tunachagua majike na madume bora ili tupate mbegu bora,hivyo hivyo hata kwenye mimea tunachagua mbegu nzuri ili tupate mazao mazuri....kwa nini kwa binadamu iwe tofauti
Kwasababu ubinadamu ni zaidi ya muonekano, mifugo mnachagua mbegu bora kwakuwa unataka kuwauza na pengine kuliwa, lakini ubinadamu unabebwa na vitu vingi sana ukiachilia mbali muonekano ikiwemo akili,utu ,matendo nk, na binadamu hayuko kwaajili ya kuuzwa tu

Sina uhakika kama ume get what I want to tell you 🤗
 
ha ha ha nimekupata vizuri
 
Wakati wa kuipachika nililazimisha siku za hatari na tuligombana kidogo,lakini nikampa matumaini alee tu nitampa ushirikiano

Huenda alijifanya tu kama hataki ili uingie kwenye 18, Wanawake viumbe wajanja zaidi ya Nyoka. Karutubishwa na ka msela kenye six pack akajakwako ili ujichanganye na alijua utaomba tu na hizo nyege..! Poleee sana jiandae kulea Mtoto ambaye sio wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha ha ha kuna alama za baba dogo anazo
 
Haya Mkuu..! Mie nilimkatalia msichana ujinga wa namna hiyo. Wanawake nawaamini nikiwa namnyandua baada ya hapo sina imani naye mpaka nijiridhishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo walio matapali mkuu, siku ya tukio niliweka mpira pembeni na nikarutubisha ndani...hapo mgogoro ulitokea hatari; baadaye nikampa hope
 
Kila la kheri Mkuu.!
Kumbuka kuhudumia na Mtoto akishakuwa mkubwa, ukiwa unatoa hela ya matumizi ni vyema uwe unatoa na mtoto anaona wanawake wanajaza sumu sana hawa watoto. Utakuja kusikia Nani kama Mama, Baba tayari ushasahauliwa na Yote uliyofanya...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la kheri Mkuu.!
Kumbuka kuhudumia na Mtoto akishakuwa mkubwa, ukiwa unatoa hela ya matumizi ni vyema uwe unatoa na mtoto anaona wanawake wanajaza sumu sana hawa watoto. Utakuja kusikia Nani kama Mama, Baba tayari ushasahauliwa na Yote uliyofanya...!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ni jambo la muhimu sana mkuu, akifikia umri wa shule tu dogo nitamuweka karibu
 
Mchepuko umenizalia ka 'beautifu girl'

Kutokana na uzuri wa mtoto, najikuta nahudumia tu bila kuchoka ila nilichojifunza, wengine wanatelekeza uzao wao kutokana na changamoto za kutoa 'product' isiyoeleweka.

Kazi kwenu wakuu.
Hongera Sana
 
Kwahiyo mtoto angekuwa mbaya cheusi mangala ungekimbia sio!?
 
Back
Top Bottom