Chindy
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 343
- 696
Kwasababu ubinadamu ni zaidi ya muonekano, mifugo mnachagua mbegu bora kwakuwa unataka kuwauza na pengine kuliwa, lakini ubinadamu unabebwa na vitu vingi sana ukiachilia mbali muonekano ikiwemo akili,utu ,matendo nk, na binadamu hayuko kwaajili ya kuuzwa tuKweli mkuu,ndio maana kwenye mifugo tunachagua majike na madume bora ili tupate mbegu bora,hivyo hivyo hata kwenye mimea tunachagua mbegu nzuri ili tupate mazao mazuri....kwa nini kwa binadamu iwe tofauti
Sina uhakika kama ume get what I want to tell you 🤗