Mchepuko umenizalia ka 'beautifu girl'

Mchepuko umenizalia ka 'beautifu girl'

hakuna marefu yasiyo na ncha. kua tayari mda wowote ipo siku kitajulikana tu. hata yeye ni mwanamke unadhani atatosheka na hela? hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu,kweli yeye ananiitaji sana hasa kupasha kiporo....ila najaribu kuangalia changamoto huko mbeleni zitakazojitokeza kama nitaruhusu huo ukaribu
 
yani mtu kakuzalia unamuita mchepuko? una dharau aise ..yani cheo ulichompa ni cha mchepuko

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani kipi cha kubadili jina lake ?? Kwani hapo pamoja nakujifungua je ameshakuwa Mke rasmi ?? Kama yeye alikuwa mchepuko atabaki mchepuko. Huo ndio ukweli, don’t sugarcoat things... Let her swallow it as it is [emoji855][emoji855]

ha ha ha alijipandisha cheo na kujiita mchepuko wa kudumu
 
Wakati wa kumtengeneza kuna aina fulani za mapozi,sasa wewe unatumia dogi staili utegemee upate kitu kizuri
Hakuna cha style wala nini, ni muonekano wa baba na mama ndio mtoto anareflect humo, sasa wewe kama una bichwa kama bata mzinga alaf mtoto azaliwe anafannana na wewe ndio ukimbie uzao utakuwa tahira🤣🤣🤣

NB; mtoto ni zao la baba na mama, napinga kauli yako eti mtu aache kumuhudumia mtoto kisa sijui sio mcute kama yupo mzazi anaefanya hivyo huyo ni mpumbavu tu. Kwani yeye hajioni na huyo mwanamke aliye amua kuzaa nae hakumuona😎

Binadamu wote ni wazuri maana tumeumbwa kwa mfano wa mungu.🙏
 
Kweli mkuu,ndio maana kwenye mifugo tunachagua majike na madume bora ili tupate mbegu bora,hivyo hivyo hata kwenye mimea tunachagua mbegu nzuri ili tupate mazao mazuri....kwa nini kwa binadamu iwe tofauti
 
Hakuna cha style wala nini, ni muonekano wa baba na mama ndio mtoto anareflect humo, sasa wewe kama una bichwa kama bata mzinga alaf mtoto azaliwe anafannana na wewe ndio ukimbie uzao utakuwa tahira[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

NB; mtoto ni zao la baba na mama, napinga kauli yako eti mtu aache kumuhudumia mtoto kisa sijui sio mcute kama yupo mzazi anaefanya hivyo huyo ni mpumbavu tu. Kwani yeye hajioni na huyo mwanamke aliye amua kuzaa nae hakumuona[emoji41]

Binadamu wote ni wazuri maana tumeumbwa kwa mfano wa mungu.[emoji120]
"Binadamu wote ni wazuri maana tumeumbwa kwa mfano wa mungu"

"Sasa kama wewe una Bichwa kama bata mzinga Alaf ndio mtoto azaliwe afanane na wewe ndio ukimbie"

The only thing to fear is fear itself
 
Back
Top Bottom