barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Pia asije akawa analea mtoto wa dume mwenzie!safi sana ila angalia sana huo mchepuko usije kuvunja ndoa yako
ha ha ha ha baharia mzoefu mkuu,nilimlazimisha kuipokea siku ya tukio ingawa alitaka kuitoaPia asije akawa analea mtoto wa dume mwenzie!
Sasa kama wewe sio HB unategemea mtoto gani ili usikimbie uzao wako🤣ha ha ha ha HB + Beautiful mom = Good product
Most likely mwanae atakuja kuwa mchepuko kama mama yake.nilichojifunza, wengine wanatelekeza uzao wao kutokana na changamoto za kutoa 'product' isiyoeleweka.
Kazi kwenu wakuu...
Jr[emoji769]
HONGERA SANA MKUU AU WEWE NI YULE JAMAA WA "MKE WANGU MJAMZITO"
Hahahahaaaaaa.....Basi saaaaawaaaa!!Kweli mkuu,kuanzia siku inaingia tena nilimlazimisha,tunairutubisha,mpaka imekomaa na kukamilika nilikuwa nawajibika ipasavyo
ha ha ha haiwezekani mkuumda sio mrefu mkeo atakuzalia "kahandsome " kutoka nje
ha ha ha ha hakwani na wewe ni beautiful? kama wewe sio beautiful na katoto ni beautiful basi ujue kuna beautiful kamkula mchepuko wako na kamzalisha
Wakati wa kumtengeneza kuna aina fulani za mapozi,sasa wewe unatumia dogi staili utegemee upate kitu kizuriSasa kama wewe sio HB unategemea mtoto gani ili usikimbie uzao wako🤣
Hilo ndilo jambo la muhimu,ila kupasha kiporo hapana kwa usalama wa ndoa
Kweli mkuu,najitahidi kuwa makini nisiwe nae karibu kabisa zaidi ya kutuma muamala tu