Mchepuko umenizalia 'Twins' kwa surprise


Mzee wa Kerege unastory sana.. Eti usharikani😎😎😎😎😎😎😎
 
Kahamia Kerege;
1. Amelazimika kupangisha
2. Ameongeza mke
3. Ameongeza watoto double
4. Na zawadi ya msongo wa mawazo

Hii ndio dunia ya 3
Ukiachilia mbali stress, amezua ugomvi baina yake na mkewe, kanisa na michepuko yake mingine hususani mama mchungaji.
 
Hongera Sana Kwa Kufika Kileleni
Uchumi Wa China Uliongezeka Kwa Kuzaliana
Hongera Sana Serikali Yetu Kuboresha Haya
 

Nimecheka sana hitimisho lako.Hofu yako iko kwa mchungaji sababu wewe ni mzee wa kanisa. Ujue hata mchungaji wako naye ana yake pia ambayo hayako sawa.Hofu yako ingekuwa kwa boss mkuu Mwenyewe, Mungu Baba ambaye bahati mbaya alishayayajua kabla ya mapacha kupatikana.
 
Ila wewe jamaa kiboko huyu mchepuko wa kinondoni si alikua hausigeli wako ukampiga denda mbele ya mke wako. Alivyofukuzwa kurudi kwao iringa ukamrudisha na kumpangia kinondoni????

Ina maana ukahama home na kuhamia kwa housegirl???????

Nimekuvulia kofia man. Ila lea hao watoto.

Na walikupaje uzee wa kanisa wakati ulimbandua mama mchungaji wa sinza? Ulivyohama ulisamehewa?

 
Kwani ulikuwa hujui kama kuna kinga? Ila ukataka nyama kwa nyama utamu kama wote hadi kisogoni. Unataka kumtelekeza awe singo maza?
Mwambie wife akupongeze Baba wawili na mwambie unajiandaa kufunga ndoa na mama wawili hivi karibuni. Hongera sana Mkuu.
 
Hahahaha chezeya utamu Mkuu.
 
We ongeza mke ukiwa nao 2 nyege zako zitaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…