Mchepuko unakaribia kuvunja ndoa yangu

Ni waathirika wapya 72,000 kila mwaka sawa na watu 200 kila siku, jitahidi kujiondoa kwenye hiyo list kila siku.
 
Ni kujiendekeza tu mkuu
 
Mkuu hapo si bure itakua unapewa mnduku tu a.k.a JICHO. kama nihilo hulaumiki Zaidi ya tukupe pole kwa mitihani
 
Bado humpendi mke wako kama unakaa week hupigi show unamtaka mchepuko hapo unadanganya umma
 
Daah nimeshangaa yaan mtu unashindwa kujitoa mwenyewe. Anyway labda kuna nguvu ya ziada
Na hana mpango wa kujitoa; Ila kawashauri vijana wenzake ambao wameoa, watulie na wake zao 🙄🙄
 
Hiyo mitindo mipya anjifunza kwa wanaume wenzio halafu anakuja kuku uzia wewe, na unakenua mpaka pengo lako linaonekana [emoji23], kumbuka huwa yanamwisho hayo!
 
Hizi jumbe nyingine hata hazina maana, mwanaume hamheshimu mke wake, ndio maana ana mchepuko, iweje mchepuko uwe na heshima kwa huyo mke?
sio kila anaechepuka ni kukosa heshim kwa mkewe.
 
Bro baki na mkeo dhambi unayotengeneza itawatesa watu wengine ambao haiwahusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…