Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kujiendekeza tu mkuuMichepuko mna nini lakin? Wakuu ninaandika kwa masikitiko na majonzi makubwa saana. Nimeoa takribani miezi Tisa sasa. Kama mjuavyo kwetu sisi wanaume hatuachi kuchepuka ikiwa ndo asili na hulka yetu.
Namshukuru Mungu,nimebahatika kupata mwanamke mzuri,mwenye upendo na pia Ni mcha Mungu. Tatizo ni huyu mchepuko niliye naye,anani control mnooo.Yaan ananifanyia visa sijapata kuona.
Inafikia nyakati Mke wangu simjali Wala kumheshimu tena,najikuta nguvu zote nazielekeza kwa mchepuko. Na mbaya Zaid mchepuko ananipeleka vile anavyo jisikia,namfanyia Mambo mengi kuliko hata ninayo yafanya kwenye familia yangu,
Lakini naambulia matokeo hasi kutoka kwa huyo mchepuko. Mchepuko anaweza kunihitaj hata saa tano usiku,ntajikuta nmedanganya kwa wife ili tu niweze kutoka.
Kuna nyakati mchepuko atanifanyia vitimbi na vibweka kiasi kwamba napoteza kabisa mood ya kazi. Nkirudi nyumbani,mke wangu namdanganya then atanifariji na kunitia nguvu na maisha yanaendelea.
Imefikia hatua nataka niachane kabisa na mchepuko,nashindwa kabisa yaan.ntampotezea Leo lakini kesho ntamtafuta Tena Bila kujali madhila anayo nifanyia.
Nimechoshwa na hii Hali wakuu,natamani kujinasua katika hii Hali ninayo pitia. Nahitaji kujikita kwenye familia yangu. Kinacho niumiza zaidi naweza kukaa hata wiki sijapiga game nyumbani,ila nataka kupiga tu game na mchepuko.
Mke wangu anakuwa mnyonge mnoo. Najutia saana kuwa na mchepuko,najitahid kutafuta njia nzuri ya kutoka na hatimaye kuacha kabisa.
Ushauri wangu kwa vijana wenzangu ambao mmeoa. Kama unaweza please tulia na mke wako ili usipitie Hali ambayo naipitia.
Nb:Mke wangu Ni mzuri na ametimia kila idara kuliko hata mchepuko.
Cc Extrovert
Nani kaingilia ndoa yako nimpige maombiHao wadada wanaroga na wanaroga Sio utani. Sikuwa najua kuhusu uchawi ila upo na unafanya kazi
Pole tafuta namna ya kujinasua.
Na hana mpango wa kujitoa; Ila kawashauri vijana wenzake ambao wameoa, watulie na wake zao 🙄🙄Daah nimeshangaa yaan mtu unashindwa kujitoa mwenyewe. Anyway labda kuna nguvu ya ziada
Hulishwi; Unakula mwenyewe kwa mikono yakoDuh,hivi inawezekana logwa bila kulishwa chochote mkuu?
Sasa kwanini huku muoa?Hakuwa mchepuko alikuwa mwanamke niliyetaka kumuoa
Basi tu majangaSasa kwanini huku muoa?
Hiyo mitindo mipya anjifunza kwa wanaume wenzio halafu anakuja kuku uzia wewe, na unakenua mpaka pengo lako linaonekana [emoji23], kumbuka huwa yanamwisho hayo!Nyumba ndogo nina watoto nina mke na nina maza/
Cha ajabu nkipata mtonyo tu nakuwaza/
Raha tunapata wote ila nina toa changu/
Na unapokea bila ya huruma na ndoa yangu/
Unanivua koti, unanipa maji, unanipa majina ya kifalme unanipa hadhi/
Unanipa masaji, unanipa kazi ambayo hata nyumba kubwa huwa hainipagi/
Kutwa nne sita kwa sita unajipinda/
Nisikuzoee kila nikija mitindo mipya/
Mingine ya kitanga na kichina/
Nalia kama mtoto mpaka nashindwa kutaja jina/
NYUMBA NDOGO BY DIZASTA VINA
Mkuu anza Kufatilia Hip hop kuanzia leo
Kwahiyo ukabaki unamtamani, ndiyo yale unaoa kisha huyo uliye mwacha anakuwa mchepuko wa kudumu, pole sana!Basi tu majanga
Hizi jumbe nyingine hata hazina maana, mwanaume hamheshimu mke wake, ndio maana ana mchepuko, iweje mchepuko uwe na heshima kwa huyo mke?Tafuta mchepuko unaye mmudu kiutawala View attachment 1630466
sio kila anaechepuka ni kukosa heshim kwa mkewe.Hizi jumbe nyingine hata hazina maana, mwanaume hamheshimu mke wake, ndio maana ana mchepuko, iweje mchepuko uwe na heshima kwa huyo mke?
sio kila anaechepuka ni kukosa heshim kwa mkewe.