Mchepuko wa Zari (Farouque) abwaga manyanga

Duuuu hatari sana ndio maana wanaitana babes uknw.....hahahaha letamkoz and project ...kazi hipo
Kuna wanawake hawana aibu kabisa duuuu
 
Eeeh kweli mange ana damu mbaya alivyosema yeye kila mtu akamshambulia na kumtetea zari leo hapa yameletwa Yale yale anapondwa zari eeeeeheeee kweli watanzania bendera fata upepo
 
Subiri waje walokuwa wanaponda
 
Eeeh kweli mange ana damu mbaya alivyosema yeye kila mtu akamshambulia na kumtetea zari leo hapa yameletwa Yale yale anapondwa zari eeeeeheeee kweli watanzania bendera fata upepo

watu wengi huwa wanaongozwa na hisia wala hawana time na facts
 
Eeeh kweli mange ana damu mbaya alivyosema yeye kila mtu akamshambulia na kumtetea zari leo hapa yameletwa Yale yale anapondwa zari eeeeeheeee kweli watanzania bendera fata upepo
SIERA hahahaha nawaona watu hapa...hebu pitia ule Uzi uone Kama mimi nilimtetea
 
Last edited by a moderator:
Kwa uzuri ni mzuri ni ngumu kwa mwanamme lijali kukataa kugonga huyu demu sema hawaendani hata kidogo
 
Back
Top Bottom