Mchepuko wa Zari (Farouque) abwaga manyanga

Mchepuko wa Zari (Farouque) abwaga manyanga

Hahahaha Mwl una vituko sana hii ya kutoboa sufuria na kuzima moto umenicha hoi sana uknw.....kijana amevuta hisia za watu sana Mimi kila siku huwa namuombea acheze salama! Kesho anatoa wimbo halafu baada ya wiki wanarudiana na wema anaanza tour za show na kumtambulisha upya
Itabidi sahv wakirudiana wafunge hata ya mkeka tu mweh make naona ile ya uwanja wa taifa ni ndoto ha ha ha
 
mweeeee any time babes....... nimeblokiwa ni shiderrrrrr

Mmmhh kumbe nyie ndio wale team wema mnaomwaga mitusi kule... duuhh ila sio siri mna panic vibaya sanaaa kwenye wall ya mtu....as if mnalipwa..try to control urselves gals...let them be...wema sio Mungu...team wema wanasikitisha sana..I wonder sijui ni watu wa aina gani...penny katukanwa haya ss..kajala katukanwa nae soon watachekeana..team wema wanabaki sura zimewashuka.....plz..plz msitukane...
 
Itabidi sahv wakirudiana wafunge hata ya mkeka tu mweh make naona ile ya uwanja wa taifa ni ndoto ha ha ha

Kwakweli Wema ana nyanyaswa sana na Diamond! Yani ningekuwa ni ndugu yake nilishamteguwa miguu! Ameshakuwa kama ndondocha wa Diamond! Utashangazwa wakirudiana!
 
Kwakweli hili la Mkubwa na mwanae kwa upande mwingine si zuri maana huyu Mkubwazari anaonekana anapenda dogo dogo Mimi naomba awe ana kumbuka salama.

Kama anasahau kula pipi na ganda soon tutaweka turubai tandale ohooo nyenyere wako kila mahali
 
Hawaendani kwa kila kitu moja tuu ni Zari ana watoto wakubwa umri watakuwa wanapisha labda 5yrs na dai, inabidi ajiheshimu

Wamama wa siku hizi kwani wana adabu basi? Basi tu bora waitwe mama hawajui kuitwa mama kuna mengi ya kufanya na kujinyima kulinda heshima ya wanao. Age pia wameachana mbali. Birthday ya mwaka Jana mkubwa alikuwa 34 na kumbuka mademu mastaa wanadanganya miaka so hapa kitu hakikosi 39 hivi. Watu wameshabikia hii ishu na kuona ni sawa kwa vile imemhusisha Wema
 
Yaani mimi nashindwa kuwaelewa mnashabikia uzinifu badala ya kumpa ushauri mwenyewe anaona sifa anatafuta kiki za kutoa wimbo mpya na jf mnavyompaa kiki du

Kwani tumeshabikia basi ndugu tunamjulisha kijana akumbuke ndom maana ile mashine kubwa
 
Wamama wa siku hizi kwani wana adabu basi? Basi tu bora waitwe mama hawajui kuitwa mama kuna mengi ya kufanya na kujinyima kulinda heshima ya wanao. Age pia wameachana mbali. Birthday ya mwaka Jana mkubwa alikuwa 34 na kumbuka mademu mastaa wanadanganya miaka so hapa kitu hakikosi 39 hivi. Watu wameshabikia hii ishu na kuona ni sawa kwa vile imemhusisha Wema

Yani inauma sana mtu mzima kama yeye kufanya upuuzi kama huu kwa ajili ya attension just imagine angekuwa dada yako sijui hata unamuangaliaje ni aibu anatia hasira
 
Kwakweli Wema ana nyanyaswa sana na Diamond! Yani ningekuwa ni ndugu yake nilishamteguwa miguu! Ameshakuwa kama ndondocha wa Diamond! Utashangazwa wakirudiana!
yan kwake mapenzi sio tu upofu ila ni macho ya bandia, watarudiana tu ngoja hiyo project ya diamond iishe utamu ha ha ha
 
Alafu we usipojipangantakupanga ukikopi habari uwe unaweka chanzo she...nzy type. Unaweka watermark as if ni wewe ndio mleta habari?? Hata hyo blog ya uganda kwa taarifa yenu Mimi ndio niliwajulisheni. Kujitia mapana kumbe unamnafikia Wema tu huna lolote. Unatumia jina La Wema kujinuifaisha wakati huwa unamponda na ulishafungua account ya kumtukana Wema. Jiangalie utakuja kufa mdomo wazi
 
Kwa anavopenda kupaishwa haoni shida kurudiana nae aendelee tu kudhalilishwa

Hahaha ndo maana domo hakuamini kama ameachwa kweli alijua ni utani hadi alijikoki murrano hehehehe maumivu tele umepeleka murrano mwenzako benzino ahahahah utajionaje vima?
 
Hahaha ndo maana domo hakuamini kama ameachwa kweli alijua ni utani hadi alijikoki murrano hehehehe maumivu tele umepeleka murrano mwenzako benzino ahahahah utajionaje vima?
sahv ndo kashtukia mapedeshee dili ha ha ha wakati alishindwa kutulia kwa papaa clemee kisa dangote hivi hivi akaacha ofa ya m400 mweh atajutraaa
 
sahv ndo kashtukia mapedeshee dili ha ha ha wakati alishindwa kutulia kwa papaa clemee kisa dangote hivi hivi akaacha ofa ya m400 mweh atajutraaa

Mapedeshee ndo habare ya mjini vijana waganga njaa waachie akina zari wenye genye mshindo hahah nahisi clemee ndo amemrudia wema wake maana alishasema kwa kajala alienda kukomoa so yameisha
 
Back
Top Bottom