Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hhahaha shikamoo Mrs ndomo za asubuhi hahaha
Mmmmmh koh koh koh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhahaha shikamoo Mrs ndomo za asubuhi hahaha
Na wema alimtongozaga Daimond
Mbona zari pia amemtongoza diamond? So kutongoza yy au kutongozwa yy si ishu Sana ila saa hivi analia kweli hata insta
Mbona zari pia amemtongoza diamond? So kutongoza yy au kutongozwa yy si ishu Sana ila saa hivi analia kweli hata insta
Ndo ujue Dai sukare tamuu halii mtu
Dunia ya leo Mwanamke kumtongoza Mwanaume ni jambo la kawaida kabisa wala siyo issue.
Jamani tupate matangazo
Wasafiiiiiiiiiiiiiiiiiii babyyyyyyytt
Shangaa huyu Dinazarde kisa Wema ndio amefanya ishu
Wote players ila kwa hili farouk Hana kosa
Mmmhh kumbe nyie ndio wale team wema mnaomwaga mitusi kule... duuhh ila sio siri mna panic vibaya sanaaa kwenye wall ya mtu....as if mnalipwa..try to control urselves gals...let them be...wema sio Mungu...team wema wanasikitisha sana..I wonder sijui ni watu wa aina gani...penny katukanwa haya ss..kajala katukanwa nae soon watachekeana..team wema wanabaki sura zimewashuka.....plz..plz msitukane...
Watu wengine wa mikoani inabidi uwazoee tu, watoto wa mjini wenyewe ndio wanajuwa kina nani wanakimbiza mji.
Nakuhakikishia wanaomponda Wema hawajawahi kuwa meza moja na Wema au angalau kuwa naye karibu, wengi wanamjuwa kupitia media tu.
Nilipata kukaa meza moja na Wema mara nyingi sana wakati anadate na Charlz Baba kuna hiden potential anayo wengi hawamwelewi na hata mimi namchukia kwa kukubali kutumiwa na mswahili wa Tandale.
Na tukija kwenye issue ya Umalaya Wema hayupo kwenye orodha ya Malaya mimi nipo hapa mujini tangu Dar inaitwa Mzizima nawajuwa malaya, kinachomponza Wema yuko wazi kwa kila mpenzi mpya anakuwa naye kwenye mahusiano.
Kila mfuatilia udaku ukimuuliza Wema tangu awe Miss Tanzania amedate na wanaume wangapi atakupa idadi.
Jumbe.Mr blue,Tid,Kanumba,Diamond na Clement.
Wengine waliokula mzigo kipedeshee kimyakimya anawajuwa mwenyewe.
we nae nimekwambia team wema wapi na huwa namwaga matusi...........
usitake nikutukane kweli hapa, Nampenda WEMA but hiyo hainifanyi nianze kutukana MATUSI
NEXT TIME THINK TWICE BEFORE YOU SPIT OUT..
Me pia ameniblock ila hata sijamtukana. Kuna mtu aliandika kuusifia utajiri na wakati huo akawa anamlinganisha na Wema. Nilichoandika kumjibu ni je ubajua chanzo cha hayo mapato umesifia? Nikashangaa nimeblockiwa.
Afadhali tu kakublock hapendi usumbufu Zari teh teh .........
haha naclick kucheki muendelezo nastukia this user has not shared any photo.. Muoga bwana ila full mafumbo alafu anajifanya hajali...why ablok km hajali?
Mabango yako nani ayavumilie bora akublock tu hhhhhhgaaaaa
Hahahah Nahisi walikuwa wanaambiana na domo manake sijakaa sawa km afta 2 days nashangaa domo nae ameniblok hehehe nikajisemea moyoni kwani mnagawa mishahara kwa followers kwendreeeni huko