Mchepuko wa Zari (Farouque) abwaga manyanga

Mapedeshee ndo habare ya mjini vijana waganga njaa waachie akina zari wenye genye mshindo hahah nahisi clemee ndo amemrudia wema wake maana alishasema kwa kajala alienda kukomoa so yameisha

Don tell me ndo alietoa ule mkoko, wamerudiana?
 
Mapedeshee ndo habare ya mjini vijana waganga njaa waachie akina zari wenye genye mshindo hahah nahisi clemee ndo amemrudia wema wake maana alishasema kwa kajala alienda kukomoa so yameisha

Wema sa ivi anapedenzee hatari kuliko wa mwanzo mambo yake safi domo alilia mpaka machozi warudiane hadi katumia watu ndo kaenda kwa zari akifikiri ana mkomoa kumbe
 
Umezidisha unga Daimond hawez kuliaa
 
Source from insiders na waliohusika shogaaaa kiruuuu

Heheeeeee si kweli Daimond analiliwa halilii demu,,ashasema kazi ya moyo ni kusukuma damu kupenda ni kiherehere chako
Hukumbuki wema anavyomliliaga Dai, ,,hadi kurekodiwa anajipendekezaga anarudiwaaa anachapwa tu
 
Anaongea tu kwakweli michozi ishamtoka shosti unafikiri anaweza Ku confess hadharani weakness yake hayo ni maneno tu ya dai kujifariji watu wengi hawajui undani wa issue yake
 
Ndo nasema labda Daimond wa Masaki sio huyu wa Tandale alilie demu
 
Huyu huyu was Tandale moja chezeiya waeneza ubuyu mwanzo nilikua nafikiri hivo been baada ya kupata information kwenye source makini woiii ngachoka kabisaa
 
Yani inauma sana mtu mzima kama yeye kufanya upuuzi kama huu kwa ajili ya attension just imagine angekuwa dada yako sijui hata unamuangaliaje ni aibu anatia hasira

Nampiga fagio la kuchwa hahah
 
Wema sa ivi anapedenzee hatari kuliko wa mwanzo mambo yake safi domo alilia mpaka machozi warudiane hadi katumia watu ndo kaenda kwa zari akifikiri ana mkomoa kumbe

Hela sabuni ya roho chezeya hela wewe...madera tupa kuleee
 
Umezidisha unga Daimond hawez kuliaa
Ndo maana ile walipokuwa wameachana mara ya kwanza, Diamond aliamua kumrekodi Wema. Walikuwa wanasema hivi hivi kwamba eti Diamond alikuwa anamlilia Wema, akaona afanye ushenzi ili kuonesha ni nani anamlilia mwenzake!! Wale wale waliokuwa wanasema Diamond alikuwa anamlilia Wema, wakageuka na kusema Diamond amemdhalilisha Wema kwa kumrekodi wakati alitaka kuweka kumbukumbu sawa...
 
Na wema alimtongozaga Daimond
 
Back
Top Bottom