Mchepuko wa Zari (Farouque) abwaga manyanga

Mchepuko wa Zari (Farouque) abwaga manyanga

Siku hizi anachuna na yeye manake Mali ni za ivan hata ile lambogin (mtanisaidia spelling) aliazima kwa Ivan (mwanae aliposti akaweka caption kwamba mtalaka alimuazima mama yao). Na umalaya huo ndio Ivan amebana Mali zake.
Kuna bwana mwingine mwaka huu huu alimuacha kisa no dolare

Kwakweli hili la Mkubwa na mwanae kwa upande mwingine si zuri maana huyu Mkubwazari anaonekana anapenda dogo dogo Mimi naomba awe ana kumbuka salama.
 
Mimi nilipoona tu style ya mkubwa na mwanae nikaona basi huyu mtoto Domo tutampoteza.

Katika hali ya kawaida kabisa huyu Malaya Zari kwa gape yao ya umri ana uwezo wa kumzaa kabisa, na wale mashabiki maandazi acheni kumpotosha huyu mtoto kwanza kama pesa Domo ana pesa zake anastahili kudate na msichana wa umri wake na siyo huyu kikongwe kinachoonekana bado wamo kwa msaada wa pesa na makeups.

Duuu Mkubwa na wanae hakika! Kijana anatakiwa kukumbuka kinga lasivyo asije kulalamika kifua kina muuma!
 
Mwenyewe kanichosha sio kwamba alimpenda domo basi kutafta kiki za ki Kim kardashian hajui kuwa huku ni Africa akiwa 20s ndo alitakiwa hafanye hivi vtu

Kuna uwezekano alikuwa ana tafuta kick kabisa! Na kesho Diamond anatoa wimbo
 
Hawaendani kwa kila kitu moja tuu ni Zari ana watoto wakubwa umri watakuwa wanapisha labda 5yrs na dai, inabidi ajiheshimu

Haijalishii mama ndo akose faraja eeee kisa watoto wakubwa khaaa
Sema ilitakiwa iwe siri ili watoti wasijuee
 
Haijalishii mama ndo akose faraja eeee kisa watoto wakubwa khaaa
Sema ilitakiwa iwe siri ili watoti wasijuee

Hiyo ndio point yangu exactly wangekulana kimya kimya wewe imagine angekuwa dada yako na watoto wa age ile aenda kutembea na daimond
 
"Ukimwaga mboga, simwagi tu ugali bali natoboa sufuria nazima na moto usipike tena" lol....

Hahahaha Mwl una vituko sana hii ya kutoboa sufuria na kuzima moto umenicha hoi sana uknw.....kijana amevuta hisia za watu sana Mimi kila siku huwa namuombea acheze salama! Kesho anatoa wimbo halafu baada ya wiki wanarudiana na wema anaanza tour za show na kumtambulisha upya
 
Haijalishii mama ndo akose faraja eeee kisa watoto wakubwa khaaa
Sema ilitakiwa iwe siri ili watoti wasijuee

Hahahaha aiseee kwani watoto wale wanajua ya mkubwa na wanae? Kaenda kutambulishwa?
 
Hawaendani kwa kila kitu moja tuu ni Zari ana watoto wakubwa umri watakuwa wanapisha labda 5yrs na dai, inabidi ajiheshimu

Hahaha inaitwa ni project ya Mkubwa na mwanae
 
Back
Top Bottom