Mchepuko wa Zari (Farouque) abwaga manyanga

Mchepuko wa Zari (Farouque) abwaga manyanga

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,157
Ninaripoti kutoka Uganda kama ifuatavyo:

Baada ya Diamond kujisevia Zari kiulaini bila kutumia nguvu boyfriend wa Zari aamua kujiweka kando kwa madai kwamba ni bora awe single kuliko kuwa na Mwanamke asiyejiheshimu. Ameorodhesha tuhuma 5 ikiwemo kupasha kiporo na baba watoto wake, kuwa na mitafaruku ya mara kwa mara kuhusu mali za exhusband Ivan, kukutana na Diamond kwenye Ndege kisha kumalizana kiutu uzima na nyingine 3 Kama alivyoziorodhesha.

Hata hivyo mchepuko mwingine wa Zari (basketballer LK4 BBA season 7 ambaye alikuwa anachepuka na Zari wakati Zari yuko ndoani) alimlaumu farouque kwa kumuuliza "are you mad"?

Pamoja na lawama za LK4 bado jamaa anaonekana kuchoshwa na uchepukaji wa bidada kwani genye zake ziko karibu.

Victor
ie warumi , Matola geniveros, evemarie, Kim nana na wengineo
 
Attachments

  • 1416342811518.jpg
    1416342811518.jpg
    38.4 KB · Views: 4,055
Farouque mwenyewe mbona nasikiaga kicheche sana.
Ila mweeeh ni haki yake kama mwanaume anayejali....vinaumiza kwakweli!
 
Mwache ale ujana lol....shout out to neywamitego...ila demu mkali aiseee..duu ht me ningekua diamond ningekula mzgo....rangi...ngozi ....sura....mwilI....mmhhhh
 
Mi namkubali sana bosslady ila kwa haya maskendo espicially hilo la Diamond....mmmh hapana kwakweli.

Mwenyewe kanichosha sio kwamba alimpenda domo basi kutafta kiki za ki Kim kardashian hajui kuwa huku ni Africa akiwa 20s ndo alitakiwa hafanye hivi vtu
 
Mwenyewe kanichosha sio kwamba alimpenda domo basi kutafta kiki za ki Kim kardashian hajui kuwa huku ni Africa akiwa 20s ndo alitakiwa hafanye hivi vtu
Nasikia Toka mwaka uanze ametambulisha wanae Dogo dogo Kama 4 hivi. Haha huyu baba yenu
 
Ninaripoti kutoka Uganda km ifuatavyo:
Baada ya diamond kujisevia zari kiulaini bila kutumia nguvu boyfriend wa zari aamua kujiweka kando kwa madai kwamba ni bora awe single kuliko kuwa na Mwanamke asiyejiheshimu. Ameorodhesha tuhuma 5 ikiwemo kupasha kiporo na baba watoto wake, kuwa na mitafaruku ya mara kwa mara kuhusu mali za exhusband ivan, kukutana na diamond kwenye Ndege kisha kumalizana kiutu uzima na nyingine 3 Kama alivyoziorodhesha. Hata hivyo mchepuko mwingine wa zari (basketballer LK4 BBA season 7 ambaye alikuwa anachepuka na zari wakati zari yuko ndoani) alimlaumu farouque kwa kumuuliza "are you mad"?
Pamoja na lawama za LK4 bado jamaa anaonekana kuchoshwa na uchepukaji wa bidada kwani genye zake ziko karibu. Victorie warumi , Matola geniveros, evemarie, Kim nana na wengineo

Mimi nilipoona tu style ya mkubwa na mwanae nikaona basi huyu mtoto Domo tutampoteza.

Katika hali ya kawaida kabisa huyu Malaya Zari kwa gape yao ya umri ana uwezo wa kumzaa kabisa, na wale mashabiki maandazi acheni kumpotosha huyu mtoto kwanza kama pesa Domo ana pesa zake anastahili kudate na msichana wa umri wake na siyo huyu kikongwe kinachoonekana bado wamo kwa msaada wa pesa na makeups.
 
Last edited by a moderator:

Siku hizi anachuna na yeye manake Mali ni za ivan hata ile lambogin (mtanisaidia spelling) aliazima kwa Ivan (mwanae aliposti akaweka caption kwamba mtalaka alimuazima mama yao). Na umalaya huo ndio Ivan amebana Mali zake.
Kuna bwana mwingine mwaka huu huu alimuacha kisa no dolare
 
Hhhhhhaaaaaaaaaaaa
Uzuri wa Daimond bahili hhhhhha
Atapewa rungu tu
 
Mi namkubali sana bosslady ila kwa haya maskendo espicially hilo la Diamond....mmmh hapana kwakweli.

mwacheni dai aendelee kufadi raha yetu wanaume ni kuwa na mademu wakali siyo sura kama sokweee piga huyo dai
 
....ila huyo mwanaume anayeenda ku display mabaya ya mwenzie huko mtandaoni...ana walakini nae!,si angesepa kimya...??ni maradhi fulani ya akili,kuwa possesive/obssesive,kutaka kumuharibia mwingine asimpate mpenzi mwingine...no wonder,he was asked,if he is mad!
 
Siku hizi anachuna na yeye manake Mali ni za ivan hata ile lambogin (mtanisaidia spelling) aliazima kwa Ivan (mwanae aliposti akaweka caption kwamba mtalaka alimuazima mama yao). Na umalaya huo ndio Ivan amebana Mali zake.
Kuna bwana mwingine mwaka huu huu alimuacha kisa no dolare

Lamboghini ni ya mumewe na kama sikosei niliona imeandikwa Ivan if haijabadiliaha and according to Zari aliinunua mumewe ila wote wanaitumia.

Ila pia na wanaoachwa pengine na wao wanashindwa kumhandle sababu ya pesa zake.
We mwanamke magari yote yale alafu kwenye plate number ni zari tu no tarakimu duh!!
 
Back
Top Bottom