Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Atakufariji,au mwambie mtoto wako mdogoHalafu iwaje
😁😄😒😂😁😂😂Mpumbavu mmoja wewe
USSR
Nakazia.Mwambie mkeo
Kwani mkeo kakosa nini?KATAA NDOA wapewe maua yaoJamaa kamuhamishia mkoa wa mbali, na plan nifanye namna niandae mazingira niende huko hata nikanunue kiwanja nianze ujenzi
MkuuKumbe mchepuko ulitaka aendelee kuchepuka tu
Cont chepukaringAma kweli mshika kumi, kenda humponyoka.
Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.
Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha wa3 ya kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa weww unakonda.
Wife anashangaa imekuaje nimerudi mapema sana leo na nimekuwa mkimya sana.
Daah kwa nilipofikia natamani hata nimuhadithie yaliyo nikuta.
Hivi ndugu zangu nyie huwa mnafanyaje kutoka katika hali hii
Maana jamaa alivyo na roho mbaya yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa sasa mm nifanyaje?
Tafuta plan B kabla hata hajaanza kukutafuta huyo Bush lawyer wakoAma kweli mshika kumi, kenda humponyoka.
Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.
Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha wa3 ya kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa weww unakonda.
Wife anashangaa imekuaje nimerudi mapema sana leo na nimekuwa mkimya sana.
Daah kwa nilipofikia natamani hata nimuhadithie yaliyo nikuta.
Hivi ndugu zangu nyie huwa mnafanyaje kutoka katika hali hii
Maana jamaa alivyo na roho mbaya yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa sasa mm nifanyaje?
Acha matusi, hujui nine invest kiasi gani kwake, kuanzia biashara, usafiri, makazi na posho za matumizi kila weekKuna wanaume kama mikuma sasa mchepuko ni mkeo asiolewe?
Hizo gharama mnazotumia kwa michepuko na ku-watreat kama wake zenu ndio zinawauma
Pumbavu mkubwa wewe
Plan B quickly is required don't loose hope,there is always tomorrowDaaah sijui kama itawezekana, maana nilimfungulia mpaka min supermarket nikamnunulia hadi usafiri wa maana ila naona kaamua kumuachia mdogo wake hiyo market yeye kachagua kuolewa
Mpe miezi sitaAma kweli mshika kumi, kenda humponyoka.
Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.
Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha wa3 ya kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa weww unakonda.
Wife anashangaa imekuaje nimerudi mapema sana leo na nimekuwa mkimya sana.
Daah kwa nilipofikia natamani hata nimuhadithie yaliyo nikuta.
Hivi ndugu zangu nyie huwa mnafanyaje kutoka katika hali hii
Maana jamaa alivyo na roho mbaya yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa sasa mm nifanyaje?
Hamishia hiyo bill kwa mama mzazi temporary the. Uta move onAcha matusi, hujui nine invest kiasi gani kwake, kuanzia biashara, usafiri, makazi na posho za matumizi kila week