Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
simshauri mama j atafute wake azaeSasa we baba J na mama J si ndo mumtafute huyo J sasa, ila na wewe umeyataka mwenyewe😅
[emoji3577][emoji3577]Ndio naanza kusoma vizuri sasa!Nakusubir dada angu
SAHII KABISA mkuualikosea sana kukuambia story ya bosi wake. ila nawe ukakosea zaidi kumwambia ni demu wa kupiga na kusepa.
ikiwa mnajitambua inabidi kila mmoja amsamehe mwenzie.
kuna namna ameona kama umeshampotezea, ukikaa sawa nae atafunguka tu. pia fahamu kuwa hakuna tena siri ya ndani yuko nayo atakushirikisha tena.SAHII KABISA mkuu
Mi nishamsamehe Mbona,
afu nishajua kabisa nilimkosea kumtamkia vile.
Ila Sasa kauli ile ya kutafta mtu yyt azae TU kwanza azae imenistua sana [emoji848]