Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harakati zako na mama j zinanipa rahaMbona Umecheka sasa dada angu?
Hili nalo neno Deepond chukua huu ushauri!! Mzalishe weweZaa nae wewe
Umeona ee.. .amemkula sana aiseeHili nalo neno Deepond chukua huu ushauri!! Mzalishe wewe
Kikubwa utam unapata sio?Dah! Yaan Ni Zaid ya heka heka dada angu
Kiukwel nikikumbuka machoz yake,Michepuko inajijua tayari kuwa ni wakupita tu.Sasa wewe kukaa naye muda mrefu hivyo umempa kujiamini kuona anapendwa sana na haumchukulii kama malaya wengine.Sasa huo mgomvi na hayo maneno yako ndio yamemuamsha kua japo huoneshi ila ndio unamchukulia hivyo
Sasa hapo utaendelea kubaki na mgogoro wa nafsi na kuumia tu...Hichi Ni kipengele,
Ukzngatia tukifikia stage iyo suala la Siri wife asijue litakua hamna Tena[emoji848]
Yaan nawaza mpk KICHWA kinauma maana wife baada ya sekeseke la mwaka Jana,Sasa hapo utaendelea kubaki na mgodi wa nafsi na kuumia tu...
Ndo umzalishe Sasa ili utam unogeUtamu wa kuzidi nakwambia[emoji39]
Apo Ndo pagumuNdo umzalishe Sasa ili utam unoge
Yaan nawaza mpk KICHWA kinauma maana wife baada ya sekeseke la mwaka Jana,
Anauhakika Mimi na mama J tushaachana MDA Sana, Sasa akija kuskia tena mpk nmezaa nae. Aisee ataumia sana wife.
Ndo maana Niko dillema
Wanaume hamshindwi jambo lakini,,Apo Ndo pagumu
Yaan nawaza mpk KICHWA kinauma maana wife baada ya lile sekeseke la mwaka Jana kufumania,mpk nikamchane makofi mamaJ tukafikishana mpk polisi. wife alinisanehe kwa moyo mmoja
Na Anauhakika 100% Mimi na mama J tushaachana MDA mrefu Sana, Sasa akija kuskia tena mpk nmezaa nae. Aisee ataumia sana wife. Na sijui km anaweza nisamehe Wala kunielewa Tena.
Ndo maana kweny icho kipungele Cha KUZAA nae Niko dillema Sana[emoji848]
Apo Ndo pagumu