Mchepuko wangu kashauriwa bora azae kwanza na yeyote atakayepatikana

Mpigie muulize kinabii " hivi itakuwaje siku ukibeba mimba siyo yangu?"

Au "nimepata hisia utazaa na mtu mwingine"
 
Mpigie muulize kinabii " hivi itakuwaje siku ukibeba mimba siyo yangu?"

Au "nimepata hisia utazaa na mtu mwingine"
Wazo zur Sana, itamfanya ajistukie[emoji4]
 
alikosea sana kukuambia story ya bosi wake. ila nawe ukakosea zaidi kumwambia ni demu wa kupiga na kusepa.

ikiwa mnajitambua inabidi kila mmoja amsamehe mwenzie.
 
alikosea sana kukuambia story ya bosi wake. ila nawe ukakosea zaidi kumwambia ni demu wa kupiga na kusepa.

ikiwa mnajitambua inabidi kila mmoja amsamehe mwenzie.
SAHII KABISA mkuu

Mi nishamsamehe Mbona,

afu nishajua kabisa nilimkosea kumtamkia vile.

Ila Sasa kauli ile ya kutafta mtu yyt azae TU kwanza azae imenistua sana [emoji848]
 
SAHII KABISA mkuu
Mi nishamsamehe Mbona,
afu nishajua kabisa nilimkosea kumtamkia vile.

Ila Sasa kauli ile ya kutafta mtu yyt azae TU kwanza azae imenistua sana [emoji848]
kuna namna ameona kama umeshampotezea, ukikaa sawa nae atafunguka tu. pia fahamu kuwa hakuna tena siri ya ndani yuko nayo atakushirikisha tena.
 
Nimekuja gundua kitu mapenzi hayashauriki
Ila ushaur alioutoa shoga ake umenistua Sana,

afu Cha kusikitisha mamaJ kaupokea na kaahidi kuufanyia kazi[emoji26]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…