Kama unakubaliana na maisha ya ukeweza yaani mitala Sawa!
Maana mume atakuwa ana nyumba mbili ya ndoa ya awali na hiyo ya mchepuko alozaa naye maana sasa inakuwa ni nyumba kamili anaihidumia kwa malazi, chakula, mavazi, Ada , matibabu n.k
Kwa hiyo akienda kwa mchepuko anaenda nyumbani kwake, akifika baba kafika , mume kafika chungu cha ugali kinabandikwa attention kama zote [emoji108][emoji108]
Sasa gharama za ukewenza unazijua?
Risks zinazoambatana na ukewenza unazijua?
Umejipanga kukabiliana nazo ili ubaki salama?
Hayo ni machache ya kutafakari.