Mcheza Filamu Maarufu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa (IFAD), Davos, Uswizi akutana na Rais Samia

IamBrianLeeSnr

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
2,010
Reaction score
4,179

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Kuitangaza Tanzania katika Sekta ya Uwekezaji kwenye ukumbi wa Mikutano wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023. Wa kwanza kushoto aliyevaa miwani ni mfanyabiashara mkubwa na Mwenyekiti mwenza wa Timu ya Manchester United ya Uingereza Avie Glazer akisikiliza kwa makini wakati Mhe. Rais alipokuwa akiitangaza Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani Idris Elba ambaye ni Balozi wa Hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD pamoja na Mke wake Sabrina Elba walipokuwa Davos nchini Uswizi.​
 
Alikujaga bwana Mohamed Ali Tz akataka kukutana na mwl Julius Nyerere, Julius akawajibu aache ushenzi mwambieni akakutane na kina Saidi Selemani Kitanda huko (Saidi kitanda alikua ni mpigana Boxer maarufu)
Babu alikua miyeyusho sometimes 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…