Mcheza karate mahiri zaidi aliyetikisa mchezo wa karate Tanzania. Khalifa Kiumbe Moto (Chief Kiumbe)

Ukweli utabaki milele na ni ngumu kufukia historia kwa makusudi...
 
Mkuu nilikuwepo wakati khalifa anampiga satana kutoka ile dojo ya manzese kanisani. Sikusimuliwa. Unajua mkuu mimi nadhani kuna vitu hatujaelewana. Mimi nimejaliwa kidogo kupitia michezo hii mkiutaalam satana, kaini, kaseba hawmuwezi kiumbe. Na wewe kama umepitia na umewaona wote huwezi kunibishia. Labda master zero. Ni kweli kaini alishinda pambano la kwanza dhidi ya khalifa. Ila kwanza ujue. Pambano la mwisho la karate Tanzania ilikua ni castro vs kiumbe. Hakukua Tena na Pambano la karate. Khalifa na kaini walipigana kick boxer. Na kwa sheria za kick boxer kaini na khalifa hawakupaswa kupigana kutokana na uzito wao kutolingana. kaseba alijitahid kwenye kick boxer sio karate. Ni kama alivopigwa kaseba na maugo Au na cheka. Haimaanishi eti kiugonvi ugonvi cheka Au maugo angempiga kaseba. Ila sharia zilizotumika kuwapiganisha sio za kaseba. Hakuzizoea. Kwa hiyo kushindwa kwa kaseba haimaanishi kua eti ndo hana kitu kwa hao watu. Ni aina ya mchezo tu
 
Kumbuka satana na khalifa walikua wanafanya mchezo inayolingana. Kama kaini na kaseba kick boxer. Au kina abdalah master kama unawakumbuka mkuu. Ila kwa karate ni kiumbe moto tu mkuu. Yeye ni moto
 
Nikataka kushangaa huyu Papaa Chief kiumbe ni karetika Sensei CEH.
 
Napenda Sana hizi kitu. Nilijifunza kiasi Kung Fu.
 
Mkuu Inaonyesha wewe mgeni kwenye hii game.... Basi tuishie hapa.... Naona Kama upo kwenye matangazo ya kharifa.... Waliocheza huu mchezo na wanaomjua kharifa watakubaliana na mimi...narudia acha kupotosha historia sitaki niongee sana nitakuja hapa na evidence(documents) mpaka huo uongozi wa judo kharifa aliupataje...
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Karate ni mchezo wa kibwege sana... Show game.
Huo wacheze wanaotaka kwenda Olympic.
Kwa taarifa tu hiyo gemu anayo izungumzia jamaa ilipoteza maisha ya watu wawili.
Jimmy Castro ((rip) alimpiga mwamba zero alleged mwalimu wa khalifa ,khalifa the following month or weeks akaomba pambano na jimmy ambaye kwa kipindi hicho alikywa vizuri sana na style yake ya taekwondo aki mix na zagazaga zingine za M.A..
JImmy alikubali hiyo challenge na alipigwa vibaya mno .
Wote Jimmy na Zero walifariki kwa matokeo ya michezo hiyo(siyo jukwaani bali madhara waliyoyapata jukwaani)
Wewe endelea kuponda tu lakini sisi wa madojo poli huku uswalihini bado tunaenda kichina china kutembeleana na kupeana vichapo vya kweli.
Kuna wababe walisha wekeana mipaka watu fulani wasikatize mitaa fulani na wakatii!
Nitawakumbuka sana Abdalah Master .Santana ,zipora -black lover s huyu msichana alikuwa par5ner wa santana hivi sasa yuko mbele huko na familia yake australia or holland sikumbuki(rip) Jimmy Master (rip) khalifa ,Kiringo (yuko active sana mpaka sasa ana hadi page zake fb nadhani walitrain pamoja na khalifa huyu kwa zero ni mwalimu wangu pia)Zero (rip huyu shida yake kubwa aliishi very conservatives kama shaolin monks akifauata karibu tamaduni zote za watu wale hakuna mtu anayekumbuka siku alivaa viatu au suruali ndefu.)
Karate ni mchezo wa kibwege sana... Show game.
Huo wacheze wanaotaka kwenda Olympic.
Kwa taarifa tu hiyo gemu anayo izungumzia jamaa ilipoteza maisha ya watu wawili.
Jimmy Castro ((rip) alimpiga mwamba zero alleged mwalimu wa khalifa ,khalifa the following month or weeks akaomba pambano na jimmy ambaye kwa kipindi hicho alikywa vizuri sana na style yake ya taekwondo aki mix na zagazaga zingine za M.A..
JImmy alikubali hiyo challenge na alipigwa vibaya mno .
Wote Jimmy na Zero walifariki kwa matokeo ya michezo hiyo(siyo jukwaani bali madhara waliyoyapata jukwaani)
Wewe endelea kuponda tu lakini sisi wa madojo poli huku uswalihini bado tunaenda kichina china kutembeleana na kupeana vichapo vya kweli.
Kuna wababe walisha wekeana mipaka watu fulani wasikatize mitaa fulani na wakatii!
Nitawakumbuka sana Abdalah Master .Santana (rip)Zero (rip huyu sida yake kubewa aliisha very conservatives kama shaolin monks akifauata karibu tamaduni zote za watu wale hakuna mtu anayekumbuka siku alivaa viatu au suruali ndefu
 
Mkuu afadhali uwaambie. Mimi nimejaribu hawanielewi
 
Kuna watu wanakuja humu then wanakwambia Khalifa alikua wa kawaida tu. Mi nachoka kabisa. Yule jamaa hakua wa kawaida. Alikua motooo [emoji91] [emoji91]
 
Karate ni mchezo wa kibwege sana... Show game.
Huo wacheze wanaotaka kwenda Olympic.
Haujui unachokiongelea japo unadhani unajua,
Uliza karate ni nn uelezwe halafu uwianishe na pumba ulizoongea,
Hakuna mchezo wa kujilinda ambao ni effective km karate,
 
Karate ni mchezo hatari sana na kimsingi huwa hauna mapambano ya jukwaani,
Watu hawajui wanaongea nn,
Labda makarateka waamue kufanya igizo tu,
Sasa mchezo km shotokan unawapambanishaje watu ulingoni,ukiwapambanisha jiandae watu kuumizana na hata vilema na kuuana,
Hebu jenga picha ya pressure points anazofundishwa mtu ili kuua kabsa ama kuumiza vibaya zitumike jukwaani effectively unadhani patatokea nn,
Huwa kuna mashindano ya kata,kion,comb,labda na sparling,na free ju kumite,
Lkn si mapambano ya kutumia kila kitu kila sehemu 100%free lazima italeta shida,kumbuka mchezo huu wa shotokan karate do ulianzishwa kwa dhamira ya kujilinda
 
Mnachanganya mambo sana nyie,
Hivi unaweza kumgrade mcheza judo na na karateka wa shotokan nyie,
Stop this foolish thoughts,
Mnaongea na kulinganisha msichojua,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…