Achana na msabaha kaka,kigoma ni hazina hasa ya shotokan,walikuwepo akina kiyoka,sensey wangii,rama buronge,isaya, nk hao ni wakongwe,Kigoma noma, Kuna dogo mmoja anaitwa Msabaha,wakigoma nae ni moto
Kung fu unasema wa wanaume?Mkuu karate ni mchezo wa kijapani ambao unahusisha miondoko kadha wa kadha ya mikono katika kujilinda na kushambulia.
Judo nao ni mchezo wa kijapani ambao upo kama sumo ila huu una husisha kupigana lock, kuangusha angusha ni kama mieleka fulani hivi.
Kung fu - Huu ndio mchezo wa wanaume sasa asili yake ni China.
Kimuonekano ni soft sana lakini impact yake ni devastating.
Kwenye Kung fu ndio Unakuta forms aina mbali mbali kama shaolin ambapo ndani yake kuna michezo kama Snake, eagle claw, tiger claw, crane, mantis, monkey etc
Pia kwenye Kung fu inategemeana na mchezo wa sehemu na sehemu, koo na koo etc ndio maana kuna michezo kama drunken dragon (my favorite), Wing Chun (my favorite), Wu-Shu etc.
ambayo ilianzishwa na tamaduni za watu fulani.
Na mtu alie iva vizuri kwenye Kung fu karate na michezo mingine yote hawawezi kufua dafu hapo.
Mtu alie cheza Kung fu yeye na mchezo wanakua kitu kimoja.
Na walio fanikiwa kwenda deep kuna hadi UCHAWI humo.
Wewe si karateka wewe umekarili terminologies tu za makaratekaNikimpa Oezuki Chudan moja tu lazima akae...
hapo akiwa bado ana shangaa shangaa lazima nivute zero stance
kisha nimlamba Mawashageli gyakuzuki mpaka taya lote lisambaratike
Hoos!Anyway lengo halikua kuanzisha ubishi wala kujua kama Kuna mtu anaweza kusimama nae kwa sasa. Lengo ni kukumbuka vipaji vilivyopotea kutokana na mfumo mbaya wa nchi yetu kwenye sera ya michezo
Kata za mchezo UPIUmenikumbusha kucheza Kata hasa kwenye show za opening.
Hajimi..hayoooo.....
Vikarate uchwara vya mitaani hivoCombat killer ni nzuri sana.
Karate ni siraha hatari kabisa wasio jua wanadharau,Kuna jamaa yangu alikua expelled jeshini ambako alikua anachukua kozi ya ukomando hua anatupa tabu sana
Kipindi cha sparring, kuna siku walipiga sparring na marehemu Mashali ilikua burudani sana.
Sema huu mchezo haufai kufundisha vijana watakua wakabaji.
Its about timing na usahihi wa pigo tuKiongozi kushinda Au kushindwa kwenye pambano ni kitu tofauti na uwezo. Unaweza kufanya makosa ukala kitasa Au kiki ya kukumaliza. Kitu nnachozungumzia kwa huyu bwana ni kua uwezo wake ni mkubwa sana. Amekua chini ya wakufunzi mbali mbali wakubwa nchini na nje ya nchi. Kwa uwezo aliokua na speed aliokua nayo kipindi Kile angeweza kupanda jukwaani na mpiganaji yoyote. Popote
Projo tu,Ahaaaaaa... Usiogope, we jichanganye tu anga zangu kisha utaleta mrejesho hapa
Mhh makarateka wa jamii forum babaKarate unatumia hands and feet to deliver and block blows pia ni kwa ajili ya self defense karate origin yake ni japan
Kung inahusisha martial arts na mambo ya kiroho mfano kwenye kungu fu hata kabla hamjaanza mazoezi dojo lazima kuna sala muiseme na hata mkimaliza pia kung fu asili ni china.pia kung fu ina style nyingi mpaka zinazofanana na wanyama
Judo yenyewe wanajifunza zaidi jinsi ya kumzibiti adui kama kumdondosha na kumtia lock asifurukute mcheza judo anaitwa Judoka
Mhh makarateka wa jamii forum baba
Hivi martial arts ni nn
Maana umechanganya habari balaa
Musoma, pale alikuwapo Abdalah Mkamba wa kamunyonge. Alikuwa anaweza mkono.Nakumbuka sn eziii hizo rest musomaaaaa
haya na wewe bwata sasa.. et na wewe unajua karate. em nenda kaharishe huko .hata wanajua hawapo kubishana hapa shwainHamjui karate mnabwata bwata tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikimpa Oezuki Chudan moja tu lazima akae...
hapo akiwa bado ana shangaa shangaa lazima nivute zero stance
kisha nimlamba Mawashageli gyakuzuki mpaka taya lote lisambaratike
Yap yap, turekebishe kidogo,:- Jordan tsuki, chudan tsuki, gedan tsuki, mawash tsuki, tet sui , gyaku ken tsuki,Nikimpa Oezuki Chudan moja tu lazima akae...
hapo akiwa bado ana shangaa shangaa lazima nivute zero stance
kisha nimlamba Mawashageli gyakuzuki mpaka taya lote lisambaratike
Sasa rudi uone ulichoandika ukilinganisha na tafsiri hii na namna ulivolitumia neno martial artMbinu za kushambulia na kujikinga kwa kutumia mwili pia hata silaha
Karataeka wa mdomo na hilo neno shwain ni kata ganihaya na wewe bwata sasa.. et na wewe unajua karate. em nenda kaharishe huko .hata wanajua hawapo kubishana hapa shwain
Sasa rudi uone ulichoandika ukilinganisha na tafsiri hii na namna ulivolitumia neno martial art
Yap bila kumsahau selemani kumchaMusoma, pale alikuwapo Abdalah Mkamba wa kamunyonge. Alikuwa anaweza mkono.