Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Nafikiri ni steroids, zinawauwa wengi na kuwanyima nguvu za kiume wakifika 35.Mh labda wenge lako tu, mi Nilikuwa namuona bado mdogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri ni steroids, zinawauwa wengi na kuwanyima nguvu za kiume wakifika 35.Mh labda wenge lako tu, mi Nilikuwa namuona bado mdogo
Of course, naifatilia hiyo channel kwenye dstv siku hizi.Dstv Wana official channel ya WWE, wafatilie Ni hatari.
👉Summer slams zote, ladders match.
Yeah, itv kulikuwa na ka mdundo fulani hivi noma.Of course, naifatilia hiyo channel kwenye dstv siku hizi.
Ila miaka ya nyuma itv ndiyo ilikuwa inarusha miaka 20 iliyopita
nimeumia saanaaa siku zote waga na side upande wa villains this is list of my Top GJamaa alikuwa ana patia, sio kina Roman Wana boa Sana🤒
Sema Brock huyu Ni zaidi ya monster🤒nimeumia saanaaa siku zote waga na side upande wa villains this is list of my Top G
1. Brock lesner
2.viper Randy Orton
3. Bray
huyu mwamba alikuwa kivuluge kweli kweli RIP champ
BatistaI hit you with Brock Lesnar.
[emoji117]Roman reigns,
[emoji117]The usos
[emoji117]Seth rollins
[emoji117]Dean Ambrose
[emoji117]Cody Rhodes
[emoji117]Daniel brayan
[emoji117]Cm punk
[emoji117]Andre the giant
[emoji117]Hulk hogan
Jamaa alikuwa na mtindo wake tofauti na alikuwa mbabeNimeumizwa na Kifo chake, he was one of the best.
Nilikuwa napenda mtindo wake wa kuingia Ulingoni kama alivyokuwa anafanya Undertaker.
Kifo ni ibada, kila mtu lazima ashiriki.
Pumzika kwa amani Bray Wyatt
Aisee! Walifwnya WWE iwe moto hasa kipindi ambacho The Shields wapo juuWame fariki wawili, huyu Bray wyatt na Luke Harper.
View attachment 2728175
Yeah, sema wwe Ime kuwa ya kiwaki Sana😁😂Aisee! Walifwnya WWE iwe moto hasa kipindi ambacho The Shields wapo juu
14. Randy OrtonSome of my wwe I love most wa enzi zile.....
1.jeff hardy
2. John Cena
3.batista
4.Rom van Damme ( RVD)
5. Matty hardy
6.Undertaker
7.Ray my sterio
8.Roman reign
9.shawn Michael (roho ya paka)
10. Triple H
11. Booker T (king booker)
12. Christian
13.Koffi Kingston
14
15.
16.
17.
18.
19.
20
Hiyo finishing Ina itwa sister Abigail's 😁Jamaa alikuwa na mtindo wake tofauti na alikuwa mbabe View attachment 2728748
Hulk Hogan ndo the macho Man, ilikuwa Ni Nick name🤒14. Randy Orton
15. Edge
16. Brock Lesnar
17. The Rock
18. Stone Cold
19. Hulk Hogan
20. MACHO Man
Hapana, sivyo...Hulk Hogan ndo the macho Man, ilikuwa Ni Nick name🤒
Yeahhh nime mkumbuka mzee, alikuwa ana piga Sana 😂View attachment 2728907
Macho Man (Randy Savage)
Sahihi kabisaJamaa alikuwa na mtindo wake tofauti na alikuwa mbabe View attachment 2728748
Program Manager wa itv miaka ile alijua kuwa mbunifu.Yeah, itv kulikuwa na ka mdundo fulani hivi noma.
Unamaanisha kuwa sasa amekutana na yule aliyekuwa anamtumikia na kumpotraite alipokuwa duniani au sijakuelewa.Deserved demise..!