TANZIA Mcheza mieleka, Bray Wyatt afariki dunia

TANZIA Mcheza mieleka, Bray Wyatt afariki dunia

Some of my wwe I love most wa enzi zile.....

1.jeff hardy
2. John Cena
3.batista
4.Rom van Damme ( RVD)
5. Matty hardy
6.Undertaker
7.Ray my sterio
8.Roman reign
9.shawn Michael (roho ya paka)
10. Triple H
11. Booker T (king booker)
12. Christian
13.Koffi Kingston
14
15.
16.
17.
18.
19.
20
Jeff hardy alikuwa na pacha wake

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Mara ya misho kumuona alikuwa na Bifu kali sana na LA Knight,Alimsumbua sana LA Knight, Baada ya mechi yao, Hakuonekana tena uwanjani.
R.I.P
 
Nafikiri ni steroids, zinawauwa wengi na kuwanyima nguvu za kiume wakifika 35.
Steroids imewamaliza wengi hata Chris Benoit ilichangia ukijumlisha kubamizwa bamizwa kichwani hupelekea damage kwenye brain.............

Umenikumbusha Kifo Cha Eddie Guerrero

Pia Roman Van Damme (RVD) aliwai kupigwa super kick na Shawn Michael ikampa damage kwenye brain 🧠
 
Steroids imewamaliza wengi hata Chris Benoit ilichangia ukijumlisha kubamizwa bamizwa kichwani hupelekea damage kwenye brain.............

Umenikumbusha Kifo Cha Eddie Guerrero

Pia Roman Van Damme (RVD) aliwai kupigwa super kick na Shawn Michael ikampa damage kwenye brain 🧠
Mkuu hivi ni vitu vizuri sana ukiwa kijana miaka ishirini hivi. Hujali chochote. Baadaye ubongo, miwili unapigwa kila siku kwa miaka kumi/ ishirini kutakuwa na damages hasa ubongoni.

Ni kama gari inachoka, tatizo mwili, ubongo ukichoka imeisha hiyo hapa kwetu Afrika.
 
Sema Brock huyu Ni zaidi ya monster🤒
Yaan Brock
THE MASHINE Huyu MWAMBA hapotezagi pambano ovyo ovyo...

In early of John Cena persue hii carrier John Cena alikua anapigwa kama mtoto mpaka huruma

Hizi ni baadhi ya A k.a zakee....


The Next Big Thing,
The Beast Incarnate,
The Conqueror.

😊
 
Lane unamaanisha Kane?

Umaga nae alishapumzika kwa amani muda mrefu nae ni heart attack
Umaga aliwai kupigwa na Ray my sterio...

Umenikumbusha BOB ASHLEY

The Andertaker taker aliwai kuchagia his opponent kati ya Hawa manguli BOB ASHLEY,JOHN CENA NA BATISTA............
 
Hauna adabu kwanza haujanisalia wakati ulipita sebleni ukiwa umevaa jinzi kama inataka kuanguka lakini ikawa ineishia kwenye magoti...🙁☹️
Ume sahau nakutunzia Siri, jinsi ulivyo kuwa una mpigisha mswaki house girl🤣😂🤒
 
Back
Top Bottom