Asingetoroka maisha.Mcheza "vikapu mashuhuri" anagombeaje chakula?Umashuhuri wa kufuga ndevu?Bloody ndevus!Ulitaka afanye nini ili afikie huko unakoona wewe ndio sawa
Hapo sawa.Mtu mwema sana huyo,alitaka kuwapelekea wanae,daah pole sana.ameuliwa na majeshi ya Israel akiwaniana chakula cha msaada na watu wengine wa Gaza
Gaza yamebaki magaidi ya kiislamu,watu wenye akili timamu walishaondoka.
Kwa hicho wale kinyeketile hawakupima kina cha maji ww kweli mgoloko sijui unatokea mkoa gani kuja kuuza bamiaHamas hovyo sana.
Wana haki ya kupambania nchi yao lakini kwenye hili hawakupima kina cha maji.