R.I.P. Tatizo Watanzania Siasa Hata Ktk. Uhai!! Kusema Eti Vyombo Vyote Vinaripot Hbr Za Mh. Lowassa Na Genge Lake!! Hivi Ni Serious Hiyo!! Leo Ni Nani Ambaye Haoni Au Hajui Kuwa Hbr Za UKAWA Zinatolewa Na ITV, TV ONE, AZAM Na CHANEL TEN TU!! Je, Hivyo Vingine Vinatangaza Hbr Za CCM Tu Kutwa Nzima Wametangaza Hiyo Hbr Ya Kifo Cha Mchezaji!!!!!?? Watanzania Tuache Kuchochea Chuki Jmn!! Hii Ni Sumu Mbaya Saaana!! Kumbukeni Ilivyokuwa Zanzibar Tokea 1995 Hadi 2010!!! Siasa Ni Mchakato Wa Kupata Viongozi Wetu!! Sio Kujenga Uadui, Chuki, Uhasama Na Utengano Kati YETU WATANZANIA!!