Mchezaji coastal afariki uwanjani timu ikitoa sare na mwadui

Mchezaji coastal afariki uwanjani timu ikitoa sare na mwadui

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
12046926_811203602331590_9133686792559988188_n.jpg
MCHEZAJI chipukizi wa timu ya vijana ya Coastal Union ya Tanga, amefariki dunia jioni ya Jumamosi baada ya kuanguka Uwanja wa Mkwakwani kufuatia kugongana na mchezaji na mwenzake.
Tukio hilo lilitokea katika mchezo wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ya Coastal Union dhidi ya uliotangulia kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Coastal na Mwadui FC ya Shinyanga uliomalizika kwa sare ya 0-0.
Taarifa zinasema mchezaji huyo aligongana mwenzake kabla ya kuanguka na kupoteza fahamu, kasha kukimbizwa hospitali ya Bombo, ambako umauti ulimfikia.
 
Die to young rip mchezaji chipukizi ila ifike mahali hizi timu ziwe na utaratibu wa kupima afya za wachezaji mara kwa mara
 
R.I.P. Tatizo Watanzania Siasa Hata Ktk. Uhai!! Kusema Eti Vyombo Vyote Vinaripot Hbr Za Mh. Lowassa Na Genge Lake!! Hivi Ni Serious Hiyo!! Leo Ni Nani Ambaye Haoni Au Hajui Kuwa Hbr Za UKAWA Zinatolewa Na ITV, TV ONE, AZAM Na CHANEL TEN TU!! Je, Hivyo Vingine Vinatangaza Hbr Za CCM Tu Kutwa Nzima Wametangaza Hiyo Hbr Ya Kifo Cha Mchezaji!!!!!?? Watanzania Tuache Kuchochea Chuki Jmn!! Hii Ni Sumu Mbaya Saaana!! Kumbukeni Ilivyokuwa Zanzibar Tokea 1995 Hadi 2010!!! Siasa Ni Mchakato Wa Kupata Viongozi Wetu!! Sio Kujenga Uadui, Chuki, Uhasama Na Utengano Kati YETU WATANZANIA!!
 
daaa pumzika kwa aman kamanda, ni kwa mapenz ya mungu mjamaa mbele yetu nyuma yako. inauma sana kumpoteza kijana chipukizi. pole kwa wazaz na familia yako kwa ujumla kila mtu atafikwa na umauti. r.i.p bro i love you
 
Back
Top Bottom